Zile dola milioni 30 zilizokutwa nyumbani kwa Magufuli ziliishia wapi?

Sikuwahi kumuunga mkono Magufuli kwa ujumla, japo nakiri kuna baadhi ya sera zake zilikua na matokeo chanya kwa umma kwa ujumla, at least temporarily.
Temporarily? Sema tuu hukumkubali Magu, utaeleweka.
  • Permanent sovereignty law of natural resources
  • SGR
  • Nyerere dam
  • Hoima -Tanga pipeline
Which one of these smells like anything temporarily?
 
Dola milioni zaidi ya 30 cash, zikutwe nyumbani kwake…..

Na hakuna hata picha moja iliyopigwa…..

Really? Nani alizihesabu hizo hela?

Unajua dola zaidi ya milioni 30 ni pesa kiasi gani in terms of cash?
 
Nafikiri zitto kabwe na wafuasi wake waliomo humu kama Allency zitto junior na ChoiceVariable wanaweza kuwa na majibu sahihi kwamba zile hela ambazo tuliambiwa Magu alikuwa ameficha nyumbani kwake ziko wapi... maana niliowataja wanaufahamu vizuri ufisadi wa Magufuli kuliko hata Samia, na ndio maana hauwezi kuona wakikemea wa awamu hii ambao ni wa kihistoria.
 
Wana mtandao na huyu kilaza wao Samia, Mungu anaenda kuwaumbua kwa uovu wao wanaoendelea kuufanya hapa Tanzania.
 
Kaka haya mambo ndo chanzo cha wabongo kusita kuunga juhudi achana Na polepole kudai cuba gesi elfu Mbili, kuna reporter insta akakzana kwamba abdul wa samia anamiliki gari la bilioni sabini, nikamuuliza mkuu ni bilioni Saba au sabini akadai ni sabini, mpaka hapo sijawahi amini taarifa zao tena tunafanya tuonekane wote wajinga huyo reporter nilihisi hata baskeli hana
 
Nilikua Pro samia kipindi anaingia sababu alikua lenient kwa upinzani na sio sababu ya kwamba alikua msafi. Since then nimegundua ni Rais mbovu tokea uhuru.
 
Yaani unaoneshwa dola pamoja na dole la kati na mtoto wa mkuu wa usalama nchini?!

Watanganyika sisi pamoja na mimi ni wangese sana!
 
Temporarily? Sema tuu hukumkubali Magu, utaeleweka.
  • Permanent sovereignty law of natural resources
  • SGR
  • Nyerere dam
  • Hoima -Tanga pipeline
Which one of these smells like anything temporarily?
Nchi ina watu milion 60 hayo mambo manne tu ndio nikupe credit??
 
Nchi ina watu milion 60 hayo mambo manne tu ndio nikupe credit??
Hayo ni baadhi tuu, sikutaka kuwachosha watu.

Huyo kilaza wenu aliyezungusha kibuyu amefanya nini?
 
Nilikua Pro samia kipindi anaingia sababu alikua lenient kwa upinzani na sio sababu ya kwamba alikua msafi. Since then nimegundua ni Rais mbovu tokea uhuru.
You didn't see the writing on the wall?
 
Nilikua Pro samia kipindi anaingia sababu alikua lenient kwa upinzani na sio sababu ya kwamba alikua msafi. Since then nimegundua ni Rais mbovu tokea uhuru.
Asante sana kwa kuliona hilo...

Huwa napenda sana mtu anayesimamia ukweli hasa ukweli ambao huko wazi.

Raisi Samia ametu disappoint sana, watu tuliamani kitendo cha kuongozwa na mwanamke basi mambo yote ya ajabu yatafika mwisho sababu ni kiumbe mwenye huruma... lakoni ndio kwanza anafuta bima ya watoto na kukuza matabaka kiasi kwamba nchi imekuwa mali ya washenzi na yeye ameuungana nao kutukandamiza watanganyika.

Hakika huyu ni raisi wa ovyo kuwahi kutokea.
 
Zilikuwa stori tu.

Ila kundi la Magufuli wote ni matajiri wa kutisha.

  • Dotto James
  • Alexander Mnyeti
  • PauL Bashite,
  • Kijazi
  • Mfugale
-
Hizi hela za plea bargain watu wa Magufuli walizipiga sana na wote ni mabilionea leo hii maana walikuwa wanagawana kama njugu za kuonja vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…