Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

Kwa hiyo huo ujumla unaozungumziwa kwenye IGA baadae tena utaenda kupunguzwa kwenye HGA? Sasa kwanini hao jamaa wakaweka jumla na rejareja au ni wafanyabiashara walioingia yale makubaliano?!

Ondoa huu ujinga wako hapa, ile IGA hata kuisoma hujawahi, inampa mwarabu mamlaka ya kujitawala kwenye ardhi yetu, na yupo tayari kufanya hivyo tangu siku iliposainiwa, Oktober 2022, na baadae tena kupitishwa na bunge, hivyo hiyo HGA yako uliyokariri haina maana.
 
Maandamano yataanzia Tweeter street yataelekea barabara ya Facebook kisha njia panda ya Instagram na kuhitimishwa kwny ma Group ya Wasap ya Makamanda
Mbona Maandamano ya BAWACHA ya KATIBA MPYA yalifanyika?
 
Hoja yako namba mbili, imejaa upotoshaji mtupu, nakujibu kama ifuatavyo, tayari tuna mkataba wa IGA ambao dhumuni lake kuu ni ushirikiano katika masuala ya bandari na miundombinu inayosapotiana na bandari, sasabasi kama pdw itasaini HGA na TPA mathalani Kwa upande wa bandari ya dar, sasa TPA akaona pia kuna umuhimu kuweka mwekezaji labda bandari ya mwanza au kigoma, so mdau wake wa Kwanza kumtangazia fursa hiyo atakuwa ni dpw sababu tayari kaingia naye makubaliano ktk IGA, endapo dpw hatakuwa interested na hizo fursa basi ataalika wengine Ila mdau wake namba moja ni dpw na sio lazima asaini naye yeye anaweza pia asimtangazie hiyo fursa na akawatangazia wengine.
 
Hoja yako namba mbili
 
Katka hoja yako namba 3 nionyeshe Panasema atapewa aridhi na fidia italipa serikali. Naomba usome vizuri kifungu chote cha nane
 
Hoja yako namba nne niambie ipo kifungu kipi nami nikaisome, make umemezeshwa pumba na mbowe nawe ukazimeza hivyo hivyo bila kuchuja, ktk HGA kila kontena analoshusha itaelezea TPA anapata shingapi na dpw anabakiwa na shingapi, pia Kwa ufupi zaidi soma kifungu cha 18 upate picha
 
Hoja yako namba tano ni imejaa ukanda tupu Ila we unaona ni bonge la hoja wakati ni utoporo mtupu, mmeshajibiwa hivi TPA inadili na bandari za Tanganyika na huko zazibar yupo zpa, Zanzibar hayo tayari washafanya na makampuni mengine so ni sie Tu Tanganyika ndo tulikuwa tumechelewa
 
Hoja yako ya Saba nayo ni pumba tupu Ila ulivyo boya mbowe kakukaririsha Tu kwamba nenda kaimbe na wewe unaimba Tu, narudia soma vizuri kifungu cha 18 kinajieleza vizuri kabisa katika hayo mambo ya msamaha wa Kodi.
 
Hivi unajua kuwa civilization ya mifumo ya tawala duniani ni copy kutoka kwa warumi (WaROMA). Pia nikusaidie tu usichokijua vetting ya mtu kuwa Padre mpaka Askofu huwa siyo ya kitoto, uwezo wa ubongo wako ni sehemu ya credit kuwa considered. Lakini pia asikudangaye mtu PHD zao siyo nyepesi kama unavyodhani wewe. Na siyo hilo tu PhD zao siyo lazima ziwe za Bible tu, inaweza kuwa PHD ya fani yoyote ile.
 
Kama
Dawa iliingia penyewe mswaada wa kubadili sheria za maliasili ukaingia mitini. Sasa hivi inaandaliwa dawa nyingine tulia hivyohivyo.
 
Unavyosema IGA sijaisoma unamanisha nini? Yaani kuisoma IGA mpaka uwe unatoka mbiguni au mars, mbona unajiona Una akili nyingi Sana kisa umesoma mkataba wa IGA? IGA inaelezea ushirikiano Kwa ujumla sababu inahusisha nchi na nchi, na hizo nchi wachama zina makampuni mamia kwa maelfu, so kampuni inapokuja kufanya kazi ktk eneo husika litaingia mkataba ktk eneo hususi wa HGA, hivi IGA ikielezea kila project itakayoingiwa huo mkataba si utakuwa na kurasa milioni kumi utaweza kuisoma?
 
Wewe kilaza umewahi kukaza[emoji1787][emoji1787]
Mie siwezi unafiki yaani maaskofu hawaruhusiwi kuoa lkn huku mtaani wamevunja ndoa za watu Kwa uzinzi na vimada kila mtaa wamewazalisha asa maisha ya kinafiki Mie siwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…