FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mkataba wa Total na Tanzania ulieleza vaguely tu kwamba Tanzania itachukua hatua zote zinazotakiwa iki ardhi ipatikane?Ndomana nakwambia wewe ni nyumbu umemeza porojo za mbowe hivi serikali ilivyochukua hatua kusimamia wananchi wake kulipwa fidia sehemu linapopita bomba la mafuta kutoka Uganda kwenda bandari ya tanga ni kwamba serikali imemlipia fidia TOTAL? Tatizo mkataba mnautafsiri Kwa mujibu wa matamanio yako Ila si hivyo ulivyo.
Mkataba unakuwa specific unapoeleza hatua ili ardhi ipatikane, weka huo wa Total uone kama ulitamkantu kwa whole sale kwamba sisi tuchukue hatua zote ik iardhi ipatikane, lazima utakuwa ukispecify hatua ipi na ipi!
Sasa ukisema hatua zote zinazohitajik, je hatua ya kulipa fidia sio hatua? Je haihitajiki? Maana mkataba usije ukauchukulia kama unaandika barua ya uchumba..