Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

Mkataba wa Total na Tanzania ulieleza vaguely tu kwamba Tanzania itachukua hatua zote zinazotakiwa iki ardhi ipatikane?

Mkataba unakuwa specific unapoeleza hatua ili ardhi ipatikane, weka huo wa Total uone kama ulitamkantu kwa whole sale kwamba sisi tuchukue hatua zote ik iardhi ipatikane, lazima utakuwa ukispecify hatua ipi na ipi!

Sasa ukisema hatua zote zinazohitajik, je hatua ya kulipa fidia sio hatua? Je haihitajiki? Maana mkataba usije ukauchukulia kama unaandika barua ya uchumba..
 
Huo ni ufinyu wako wa mawazo TPA kuitangazia fursa za uwekezaji si kuiomba ruhusa ni vile tu umeamua kutafsiri kinyume nyume, kuna nchi zinatumia mabilioni ya hela kutangaza fursa za uwekezaji nchini mwao, sasa wewe unaona ajabu TPA kuitangazia fursa dpw? Ushamba kweli ni mzigo.
 
Jibu hoja, kwanini tuombe ruhusa kuendeleza rasilimali zetu?! Hiyo ndio hoja! Kama ni credible mbona Djibouti wamemtimua ?! Tunajadili hoja, sio hisia!!
 
Kushurutishwa kwenye mkataba kutaarifu kabla ya kufanya uendelezaji kwenye eneo tofauti na la mkataba ni kuomba ruhusa, huu utumwa ni kwa faida ya nani? Hiyo ndio hoja!
 
Acha kulisha maneno watu wewe, hao wote hawajawahi kusema hivyo Bali wamekuwa wakifafanua kuwa, IGA ni mkataba/makubaliano ya awali na kuna mkataba/makubaliano wa HGA ndo utaeleza maeneo mahususi.
Kwamba unataka nikuwekee clip zao wakikanusha kwamba ule sio mkataba? Hivi hamna aibu? Ingia youtube zikmejaa tele
 
Hiyo sie tunapata 0% ipo kwenye kifungu gani? Tatizo chadema huwa mna hoja za nguvu sio nguvu za hoja, unaelezea kabisa IGA haiwezi kusema utapata shingapi koz feasibility ya eneo hususi bado haijafanyika, ikifanyika kwenye HGA itaelezea TPA anapata shingapi na dpw anabakiwa na shingapi, msamaha wa Kodi ni haki Kwa makampuni kama watakuja na hoja za msingi hii inafanyika nchi nyingi pia ni sehemu ya kuvutia wawekezaji hivi nyie ba-vichaaa mkishika Dola kweli mtaweza kufanya kazi na sekta binafsi kweli?
 
Hivi chadema mna matatizo gani nyie sasa IGA ieleze yote hayo huo mkataba si utakuwa kurasa milioni kumi? Kwenye HGA mmeambiwa yote hayo yatakuwepo kulikoni nyie vichwa ngumu mnashindwa kuelewa?
 
Jibu hoja, kwanini tuombe ruhusa kuendeleza rasilimali zetu?! Hiyo ndio hoja! Kama ni credible mbona Djibouti wamemtimua ?! Tunajadili hoja, sio hisia!!
HOJA zenyewe hizo za kutumia nguvu ni hoja? Yaani TPA kutangaza na kushawishi mwekezaji aje awekeze ndo imekuwa kuomba ruhusa?
 
Mkataba ambao hausemi utapata nini, maana yake umeachia mwanya kwa anaekupa kukupa kile atakachoona kinamfaa yeye.., tukija kupewa 0%, unaikataa kwa mkataba upi? Au utadai 50% kwa makubaliano yapi?! Au unatupenda kwamba atatupa nyingi bila kubanwa na mkataba kisa anatupenda?!

Hayo mambo ya kuja kusema tutakuja kusaini mkataba mwingine ni utaahira tu, kwanini tulisaini mkataba ambao hausemi tutapata nini, ila unasema tutatoa nini?! Yaani tutanachitoa kinafahamika completely, ila tutachopokea hakijukikani, completely!! Tunasubiri huruma yake kwamba atatupa nini?!! Mmerogwa??!!
 
Kushurutishwa kwenye mkataba kutaarifu kabla ya kufanya uendelezaji kwenye eneo tofauti na la mkataba ni kuomba ruhusa, huu utumwa ni kwa faida ya nani? Hiyo ndio hoja!
Hoja zako ni za kipuuzi halafu ni za kulazimisha, narudia TPA kuitangazia fursa za uwekezaji dpw si kuomba ruhusa Bali ni sehemu ya wajibu wa TPA kuvutia wawekezaji.
 
Ila Watanzania huwa..... ashakum si matusi (tu wajinga sana) hapa kwanza ncheke... 🤣🤣🤣. Wakati kina Jerry Slaa wanafafanua mkataba kwamba haijauzwa nchi nzima tena Kwa ushahidi wa yaliyomo kwenye mkataba wala watu hawakutaka kuwasikiliza ila wapotoshaji wanasikilizwa hadi kutukosesha amani.

Hapa naamini TEC na wanasiasa uchwara wana maslahi binafsi na bandari.

Nalog off... DP world🤩
 
Hivi chadema mna matatizo gani nyie sasa IGA ieleze yote hayo huo mkataba si utakuwa kurasa milioni kumi? Kwenye HGA mmeambiwa yote hayo yatakuwepo kulikoni nyie vichwa ngumu mnashindwa kuelewa?
Wewe kumbe mwehu!? Hebu leo njoo mimi na wewe tusaini mkataba wa jumla jumla tu, unaosema kwamba wewe utachukua hatua zote kuhakikisha kijana wangu wa kiume anamuoa binti yako na anampa mimba, hebu njoo tusaini huo mkataba, halafu uone nitakachojufanya mahakamani, pale uatakoposhindwa

1.) Kumshawishi binti yako akubali kuolewa na kijana wangu, akubali mwenyewe kwa hiari yake, hata kwa kumroga ikibidi, umroge!

2.) Utakaposhindwa kunipa pesa ya kutoa mahari kwa ajili ya kijana wangu kumuoa binti yako..

3.) Utakaposhindwa kufanya na kufanikisha maandalizi yote ya sendoff, na hata harusi...

4.) Utakaposhindwa kuandaa Honey nzuri ya binti yako kudungwa mimba vizuri..,

Njoo tusaini tu...
 
Kubishana na mtu aliyemeza kitu akitapike Kwa kweli ni shuhuli pevu, endelea kumeza utoporo uliolishwa na mbowe
 
Nakwambia hujaisoma na nina hakika hujaisoma kwasababu hujui hata vile vifungu kule ndani ya ule mkataba vinazungumzia kitu gani, umekaririshwa na wanasiasa kuna HGA inafuata ndio majibu unayonipa mimi, wala hujui lengo lao kusema hivyo ni kupoteza muda tu, wakijua HGA wataificha.

Nenda kaisome ile IGA uielewe, inawezekana unaisoma tu kama gazeti la Sani ndio ujue kama majibu ya wanasiasa uliyokaririshwa yana maana.
 
HOJA zenyewe hizo za kutumia nguvu ni hoja? Yaani TPA kutangaza na kushawishi mwekezaji aje awekeze ndo imekuwa kuomba ruhusa?
Mkataba unasema kwamba, inapotokea fursa nyingine ya uwekezaji wa bandari, apewe taarifa?’, tunampa taarifa yeye kama nani? Tunoe taarifa iki iweje?! Nchi yao hii?!!

Sisi tushindwe kuendeleza rasilimali zetu bila yeye kujulishwa, na kama hana nia ndio atupe goa ahead ya kumtumia mtu mwingine? Kwanini akili mnawekaga makalioni wakati mnasoma hiyo mikataba?!
 
Mie siwezi unafiki yaani maaskofu hawaruhusiwi kuoa lkn huku mtaani wamevunja ndoa za watu Kwa uzinzi na vimada kila mtaa wamewazalisha asa maisha ya kinafiki Mie siwezi
Kukaza kwenye nini wewe, mimi nazungumzia usomi wa maaskofu sio mambo ya unyumba kilaza..
 
Kubishana na mtu aliyemeza kitu akitapike Kwa kweli ni shuhuli pevu, endelea kumeza utoporo uliolishwa na mbowe
Okay, hebu leo njoo tusaini mkataba wa kunipa nyumba yako nikae humo na kuiendeleza, na tusiseme nitakaa kwa muda gani, nitakulipa nini..,na nitaiemdeleza vioi na kwa kiwango gani..., hayo tusaini kwenye mkataba ujao baada ya kusaini huu wa kwanza, hebu njoo tusaini halafu uone nitakachokufanya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…