Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

Wewe acha kukariri brela yenyewe kasajili kampuni nyingi tu ambazo zimetumia mkataba wa awali kama documents ya kutambulisha kuwa kuna watu Wana Wanashirikiana lkn mtaji uliowekwa Unakuwa ni nominated capital lkn kiuhalisia utaikuta hata mtaji haina Kabisa, sasa inapata kazi na inaalika kampuni yenye uwezo na wanaingia mkataba mahususi sasa ambao utakuwa na article of association, sasa wewe unashangaa IGA kuwa ni mkataba wa ujumla Ila ndani kunakuwa na mkataba mahususi.
 
We jamaa ni mbumbu hivi kushawishi mwekezaji mkubwa kama DP world aje awekeze Huku makunduchi unazani ni kazi rahisi? Yaani TPA kutangaza fursa za uwekezaji kwako wewe unaona ni upuuzi? Watz tuna akili timamu hatuwezi kukabidhi nchi Kwa wapumbavu kama nyie ba-vichaaa msiokuwa na akili, Rwanda analipa mabilioni ya hela pale aseno Kwa kuwatangazia dunia waje waone fursa za uwekezaji, Ila TPA akifanya hivyo ktk uwanja wake we nyumbu unamuona Hana akili?
 
Sawa, njoo tusaini huo mkataba niliokwambia sasa
 
Tofautisha kutangaza, na kushurutishwa na mtu ambae umeshasaini nae mkataba wa uwekezaji, kwamba ni kazima ajulishwe kabla hatujafanya uwekezaji kama huo kwingine kokote...,

Sasa kujulishwa kwa lengo lipi na kwa mantiki ipi? Kwamba yeye ndio mmiliki wa hii nchi?
 
Kuna wale ng’ombe wa TEC sijui wanaharisha wapi saa hii
 
Sawa injinia wa mkataba ngoja nikaisome!
 
Kila nikifikiria aliyewaroga watanzania ni nani huwa nakosa majibu. Hasa ninapowatazama watu kama wewe.
 
Kujulisha, kutangaza na kutaarifu, tafsiri yake ni kumpa mtu taarifa ya kitu asichokifahamu, sasa TPA ana mamlaka ya bandari zote Tanganyika sasa tayari ana HGA na dpw mathalani bandari ya daresalam, sasa kuna ubaya gani TPA kumtaarifu dpw kwamba njoo na Huku mwanza au kigoma kuna fursa na Huku uje uwekeze? Tatizo Una tafsiri mambo Kwa Political milage ndo linakuja suala la upotoshaji na hoja za nguvu!
 
Sawa, njoo tusaini huo mkataba niliokwambia sasa
Nakuja Ila pia sitachoka kukuelimisha we nyumbu wa mbowe, ili uelewe vizuri IGA na economic integration is like the same tofauti yake IGA inahusisha nchi mbili wakati economic integration inajumuisha nchi nyingi, integration ina Mou ambayo ni mkataba unaelezea Kwa ujumla, mfano ECOWAS Wana kipengele cha free movement of capital and labour, yaani nchi wanachama Wana uhuru wakuwekeza au kuajiriwa ktk nchi mchama, so mfano kampuni ya Nigeria ina haki ya kuwekeza Ghana au Niger lkn ni mpaka iwe imeona kuna fursa, na nchi wachama Wana haki wakiyatangazia fursa na kipaumbele makumpuni wachama. Na yakiona fursa lazima yataingia mkataba ktk eneo hususi hawatatumia mkataba wa Mou wa integration so vitu simple kama hivyo mnashindwaje kuelewa?
 
Ni kwanini hilo la kujulisha mtu iwe lazima? Maana ukiweka kwenye mkatana na kusaini tayari legally binding? Kwnaini DPW awekwe sharti hilo, kama sisi ndio tunamuhitahi, kwanini tubanwe kumjukisha kisheria, hata kama tumepata mtu bora zaidi yake, kwanini mktaba umpe monopoly ya kujulishwa na kuamua kama atamruhusu mpinzani wake aliye bora zaidi yake au kama ataamua kumuwekea uzibe na kutukosesha miwekezaji bora zaidi na kusema atafanya yeye hata kama hana nia wala uwezo? Utaahira huu ni kwa faida ya nani?
 
Kama huna AKILI hata ukipewa majibu utaelewa ndugu yangu,maana kama hukuelewa juu ya kelele zile za watu utaelewa majibu watakayo kupa.Ushauri ninaokupa ni huu kwa herufi kubwa UKIONA WATU WENYE AKILI WANASHAURI MAMBO YA KITAIFA WW TULIA UACHE WENYE AKILI WAFANYE KAZI YA AKILI.
 
Hilo tayari ni eneo hususi lazima tusaini article of association lkn tunaweza tukawa na mkataba wa jumla (Mou) kuwa tutakuwa na ushirikiano wa kutafutiana wateja kwenye fremu za nyumba yangu, commission yako Itategemea offer ya mteja so vitu simple kama hivyo mnashindwaje kuelewa?
 
Ndomana nakwambia mkataba unautafsiri kinyume nyume, sio lazima amtaarifu na hayo mambo ya mpaka sijui dpw akubali ni hisia zenu, sasa wewe mbowe hivi kwani kumtaarifu mwekezaji mwenye CV zilizoshiba kama dpw aje aone fursa kuna ubaya gani hapo?
 
Sawa injinia wa mkataba ngoja nikaisome!
Tena ukausome na kuuelewa ili usilete ngonjera za wanasiasa hapa, haiwezekani IGA ambayo ni kama msingi wa makubaliano ikosewe, kisha useme utarekebisha kwenye HGA, hakuna nyumba inayojengwa kwa msingi mbovu ikasimama hata siku moja!
 
Tena ukausome na kuuelewa ili usilete ngonjera za wanasiasa hapa, haiwezekani IGA ambayo ni kama msingi wa makubaliano ikosewe, kisha useme utarekebisha kwenye HGA, hakuna nyumba inayojengwa kwa msingi mbovu ikasimama hata siku moja!
Sawa profesa wa mikataba!!
 
Ndomana nakwambia mkataba unautafsiri kinyume nyume, sio lazima amtaarifu na hayo mambo ya mpaka sijui dpw akubali ni hisia zenu, sasa wewe mbowe hivi kwani kumtaarifu mwekezaji mwenye CV zilizoshiba kama dpw aje aone fursa kuna ubaya gani hapo?
Mkataba unasema lazima umjulishe..., sasa kwa ini iwe lazima? Why?
 
Kwahiyo wanaume wanapiga kelele wewe mwanamke umejifungia ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…