Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

kiporo cha mwakani na mwaka keshokutwa wakati wa kampeni ya serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. upo hapo?
 
Kwa hiyo, ashakum si matusi, nikikwambia ukitaka kwenda kulala na mkeo unijulishe kwanza utakubali tu kwa kuwa hutapungukiwa na kitu?
Umetoa mfano wa hovyo ambao hauna uhusiano wowote na hoja hii.
 
Leo nimeingia kanisani hadi nikahisi Padre wetu anaumwa. Maana si kwa upole ule
Kobazi tangu lini akaingia Kanisani acha upotoshaji

Tamko limesomwa kama kawaida na jana jumamosi limesomwa kwenye jumuiya chezea TEC wewe mlijambishwa
 
Ngoja nijinyamazie mie, ila kabla ya 2025 tukiwa hai yatatokea mengi sana hapo katikati
 
Maisha yanaenda kasi sana huku wanasemwa vibaya sana waarabu na kusemwa tena vibaya wakati msaidizi wa pili wa pope Francis ktk picha hapo ni muarabu anaitwa Yoannis Gaid na anauraia wa Vatican na ule wa asili yake ni Misri ,propaganda zimefeli ,Tanzania tusonge mbele sasa .
 
Kwani kumjulisha kuna shida gani? Sie tunapungukiwa nini kwa kumjulisha tu?
Wewe nikikuambia uwe unanipa taarifa kabla ya kufanya tendo la ndoa na mkeo, halafu kama mimi nikiwa sina hamu nae usiku huo ndio nikupe ruhusa ya kumpiga miti, tena usaini mkataba kabisa..., inaingia akilini?’ Na mke ni wako umetoa wewe mahari na umeoa wewe, halafu uniombe ruhusua kama namtaka au simtaki ndio nikwambie piga tu, leo sina hamu nae! Hivi akili zenu zipo mataqoni mbwa nyie?!
 
Hilo neno lazima lipo kwenye kifungu gani?
Mkataba ukimwaga wino na kusaini, yale uliyoyasaini kwenye mkataba, ni hiari yako au ni lazima? Kwamba tumesaini kuoangishana nyumba, halafu baada ya kupokea pesa ya kodi na kusaini mkataba useme sio lazima kunipa nyumba niliyolipia, kwamba ni hiari?

Hivi akili zenu zipo mataqoni mbwa nyie?!
 
Utueleze wewe hizo ghati ulizozita tayari Waarabu wanaziendesha? Ni afadhari unyamaze kuliko kujidhalilisha, IGA inasema bandari zote za bahari, maziwa na nchi kavu, wewe taarifa ya ghati 0-4 na 5-7 umezitoa wapi? Hata kusoma mwenzetu ujuhi? or you are bound to support evil as long as you are part of a system that's doing it?

Ukisikia watu wamenyamaza ujue deal done!! na ile sheria iliyopelekwa Bungeni kuhalalisha uuzwaji huo tayari imeondolewa, wenye waraka wamesimamia haki ambayo wajukuu wa ndugu zako na wajukuu zako watakuja kufurahia matunda yake.
 
Kifungu cha ngapi cha IGA kinasema hayo? Kweli uchizi sio lazima kuokota makopo
 
We ni kenge kabisa unazunguka zunguka Tu, kwani hata kama ni lazima kutoa taarifa za fursa Kwa dpw kwani kuna ubaya gani hapo mbwa wa mbowe wewe?
 
We ni kenge kabisa unazunguka zunguka Tu, kwani hata kama ni lazima kutoa taarifa za fursa Kwa dpw kwani kuna ubaya gani hapo mbwa wa mbowe wewe?
Kumpa taarifa ili kama yeye hataki ndio aturuhusu ni utaahira kwa sababu akitokea mshindani wake mwenye uwezo na ubora zaidi yake atamuwekea uzibe kwa kisema atawekeza yeye hivyo huyo moonzani wake asipewe, na hivyo tutakosa fursa ya iwekezaji toka kwa mwenye uwezo nanubora zaidi yake.

Halafu leo nikikwambia usilale na mkeo hadi unijulishe kama nina hamu nae siku hiyo au sina hamu nae ndio nikwambie endelea, inaingia akilini hiyo?!
 
Ok, kwani waarabu washaanza kazi pale bandarini..!!??

TEC ni nyoko, achana nao kabisa..!! TEC ni wajuzi wa mambo
 
Hahahahaha ngoja niutafute!!

Hawa jamaa wanatuonaga watanzania Mandezi sana. Wanajuaga hatusomi , tukisoma hatuelewi kwa iyo tunawasikiliza wanayosema wao tu[emoji1787][emoji1787]

Safari hii watakoma. Nimeamua kukomaa nao na upotoshaji wao
Wewe ni mtu mjinga sana, ula samahani kama utakwazika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…