Yeah Moshi na Mbwembwe wamepambana sana na kina Ali Choki na Muumini Mwinjuma.Wengi walitamba sana miaka ya 80, ingawa Selemani Mbwembwe na Moshi William walitamba mpaka mauti yalipowafika
Utani au ukweli?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mungu wangu utani wa ngumi huooo
Ulicheza nao kwenye ndoto sio?Babu nitake radhi me muhenga na uliowaweka wote nawajua nilicheza nao
Babu kitime tena mpaka leo nacheza nae njenje palm beachUlicheza nao kwenye ndoto sio?
Haya bhanaUtani au ukweli?
Kumbe hauvumi lakini umo enh?Babu kitime tena mpaka leo nacheza nae njenje palm beach
Haya bhana
[emoji35] [emoji35] [emoji57]Ukifikisha miaka 20 unambie nikuambie kitu changu...
He he nimo muhenga mieKumbe hauvumi lakini umo enh?
Kahenga ka miaka 17. Umejitahidi ila mi naogopa jela...He he nimo muhenga mie
Afu ile ID yako ya zamani... what went wrong?[emoji35] [emoji35] [emoji57]
Babu mbona unanifananisha na mtoto wangu wa kwanza mwenye age hiyoKahenga ka miaka 17. Umejitahidi ila mi naogopa jela...
Mmmhhhhh......Babu mbona unanifananisha na mtoto wangu wa kwanza mwenye age hiyo
Kuna issue ilitokea ndiyo maana nili ibadiliAfu ile ID yako ya zamani... what went wrong?
Marahaba mjukuu mwema, u hali gani?Babu Asprine shikamooo![emoji119][emoji119][emoji119]
Yeah nao wamobila remmy ongala na mbaraka mwinshehe naona list ya wahenga waimbaji haujaitendea haki mzee Asprin [emoji20][emoji20][emoji20]