Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Yeah Moshi na Mbwembwe wamepambana sana na kina Ali Choki na Muumini Mwinjuma.Wengi walitamba sana miaka ya 80, ingawa Selemani Mbwembwe na Moshi William walitamba mpaka mauti yalipowafika
Enzi hizi ilikuwa burudani sana...
Mzigua90 alikuwa bado hajazaliwa