ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Wengi walitamba sana miaka ya 80, ingawa Selemani Mbwembwe na Moshi William walitamba mpaka mauti yalipowafika
Yeah Moshi na Mbwembwe wamepambana sana na kina Ali Choki na Muumini Mwinjuma.

Enzi hizi ilikuwa burudani sana...

Mzigua90 alikuwa bado hajazaliwa
20z8uvt.jpg
 
Hivi ilikuwa ni new chox,empire na avalon tu? Wahenga wa huku vilimani tulikuwa Metropole,Elite,na Arusha by night enzi hizo na mambo yalienda!
 
bila remmy ongala na mbaraka mwinshehe naona list ya wahenga waimbaji haujaitendea haki mzee Asprin [emoji20][emoji20][emoji20]
 
Back
Top Bottom