Aisee natafuta sana hizi nyimbo ntapata wapi?Kuna nyimbo zilikuwa maarufu sana miama hiyo siwakumbuki waimbaji ila kuna maneno yanasema
"Cheka lakini kaburi lakungoja...ukimuona mtu anayeumwa ukimwi amekondaaa amebaki mifupa mitupu..."
Kuna sehemu anaimba anaigiza kuwa bint kuwa kavaa viatu vya mchuchumio vinalia koo koo kooo...
NATAFUTA WIMBO WA HAMZA KALALA_NGONDOIGWA KOMANDO KALALA MWENYE NAO ANISAIDIE KUUPATA
Aisee natafuta sana hizi nyimboKuna nyimbo zilikuwa maarufu sana miama hiyo siwakumbuki waimbaji ila kuna maneno yanasema
"Cheka lakini kaburi lakungoja...ukimuona mtu anayeumwa ukimwi amekondaaa amebaki mifupa mitupu..."
Kuna sehemu anaimba anaigiza kuwa bint kuwa kavaa viatu vya mchuchumio vinalia koo koo kooo...
Huo wimbo unaitwa Seven DaysNatafuta nymbo ya msanii mmoja jina silijui ila kwenye nyimbo hyo chorus yake anaimba " I'm gonna miss you on Monday Tuesday miss u Wednesday
Tribute to Kyamangwana Mateta Verckys from Kinshasa Congo DR
IN SONG BALUTI HE STANDS OUT AS ONE OF AFRICA'S GREATEST SAXOPHONE PLAYER
Source : Vuli Yeni
Baluti - Orchèstre Vèvè
The man himself Kyamangwana Mateta Verckys
...EMENEYA...KING KESTER ENENEYA - NZINZI (Version Clip)
Source: Fils Lokombe
Mkuu Balantanda nahitaji sana wimbo mmoja wa zamani chorus yake inaimbwa hivi
"Kifo cha baba jamaniii,hakitatutoka moyonii,kwa kumpata hatumuonii tutakaye muuliza ni nani eeh...." nijulishe hao walikuwa bendi gani,na wimbo nautaka sana! Yamenikuta
AsanteView attachment 2042456
Juwata Jazrz - Kifo cha Baba
AsanteView attachment 2042456
Juwata Jazz - Kifo cha Baba
View attachment 2042456
Juwata Jazz - Kifo cha Baba
Ndala alikuja Tanzania mara ya kwanza mwaka 1972 akiwa na bendi ikiitwa FAUVETTE walioimba wimbo wa FRANCISCA, akiwa na BAZIANO na KIKII baadaye akaenda UGANDA kablaya kuenda kuchukuliwa na Mzee John Fedha(wa kinondoni Bamboo Bar) kuja kuchukua nafasi aya KIKIII kama kiongozi wa Orchestre Sfari Sound ya Mzee Hugo Kissima hapo 1980 na kuanzisha mtindo wa DUKU DUKU....mpaka 1984 nadhani akawa solo akipiga zaidi mahoteli ya kitalii na gita lake la nyuzi 12 kabla ya kuanzisha bendi yake mwenyewe ikiitwa ZAITA MUZIKA miaka ya 1980 mwishoni na baadaye kuunga na KIKII kuanzisha kundi la AFRIKA BARA MOTO au WAZEE SUGU mapaka alipokufa 2006