Aisee natafuta sana hizi nyimbo ntapata wapi?Kuna nyimbo zilikuwa maarufu sana miama hiyo siwakumbuki waimbaji ila kuna maneno yanasema
"Cheka lakini kaburi lakungoja...ukimuona mtu anayeumwa ukimwi amekondaaa amebaki mifupa mitupu..."
Kuna sehemu anaimba anaigiza kuwa bint kuwa kavaa viatu vya mchuchumio vinalia koo koo kooo...