ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Kuna nyimbo zilikuwa maarufu sana miama hiyo siwakumbuki waimbaji ila kuna maneno yanasema
"Cheka lakini kaburi lakungoja...ukimuona mtu anayeumwa ukimwi amekondaaa amebaki mifupa mitupu..."

Kuna sehemu anaimba anaigiza kuwa bint kuwa kavaa viatu vya mchuchumio vinalia koo koo kooo...
Aisee natafuta sana hizi nyimbo ntapata wapi?
 
NATAFUTA WIMBO WA HAMZA KALALA_NGONDOIGWA KOMANDO KALALA MWENYE NAO ANISAIDIE KUUPATA
Kuna nyimbo zilikuwa maarufu sana miama hiyo siwakumbuki waimbaji ila kuna maneno yanasema
"Cheka lakini kaburi lakungoja...ukimuona mtu anayeumwa ukimwi amekondaaa amebaki mifupa mitupu..."

Kuna sehemu anaimba anaigiza kuwa bint kuwa kavaa viatu vya mchuchumio vinalia koo koo kooo...
Aisee natafuta sana hizi nyimbo
 
Natafuta nymbo ya msanii mmoja jina silijui ila kwenye nyimbo hyo chorus yake anaimba " I'm gonna miss you on Monday Tuesday miss u Wednesday
Huo wimbo unaitwa Seven Days
Msanii anaitwa Graig David
 
Tribute to Kyamangwana Mateta Verckys from Kinshasa Congo DR

IN SONG BALUTI HE STANDS OUT AS ONE OF AFRICA'S GREATEST SAXOPHONE PLAYER



Source : Vuli Yeni

Baluti - Orchèstre Vèvè

The man himself Kyamangwana Mateta Verckys



Verckys Kiamangwana



Source : Naessia Music
 
NAKOMITUKANA Ancy KIAMUANGANA LIVE


Tribute to renowned saxophonist Verckys Kiamuangana Mateta
Source :Ancy Kiamuangana "OFFICIAL"
 
Mkuu Balantanda nahitaji sana wimbo mmoja wa zamani chorus yake inaimbwa hivi
"Kifo cha baba jamaniii,hakitatutoka moyonii,kwa kumpata hatumuonii tutakaye muuliza ni nani eeh...." nijulishe hao walikuwa bendi gani,na wimbo nautaka sana! Yamenikuta


Juwata Jazz - Kifo cha Baba
 
Hizi nyimbo Mtoto Jackie, Hata kama, cover za Serengeti Band, Shakaza,safari ya masafa marefu, masumanda aliye nazo tafadhali naziomba
 
JACQUELINE ORCHESTRE FAUVETTE 1971



Congolese group founded in the East side of the DR Congo (Zaire) in 1960s by Ndala Kasheba, later in the 1960s it relocated to Dar es Salaam Tanzania with its base at the then famous White House nightclub where the group changed their name to Orchestre Safari-Nkoy. Band members apart from Ndala Kasheba a.k.a Freddy Supreme included the famous Baziano, Kikumbi Mwanza Mpango ...

Source : Josephine Kiwanuka

More info : courtesy of Safari_ni_Safari
Ndala alikuja Tanzania mara ya kwanza mwaka 1972 akiwa na bendi ikiitwa FAUVETTE walioimba wimbo wa FRANCISCA, akiwa na BAZIANO na KIKII baadaye akaenda UGANDA kablaya kuenda kuchukuliwa na Mzee John Fedha(wa kinondoni Bamboo Bar) kuja kuchukua nafasi aya KIKIII kama kiongozi wa Orchestre Sfari Sound ya Mzee Hugo Kissima hapo 1980 na kuanzisha mtindo wa DUKU DUKU....mpaka 1984 nadhani akawa solo akipiga zaidi mahoteli ya kitalii na gita lake la nyuzi 12 kabla ya kuanzisha bendi yake mwenyewe ikiitwa ZAITA MUZIKA miaka ya 1980 mwishoni na baadaye kuunga na KIKII kuanzisha kundi la AFRIKA BARA MOTO au WAZEE SUGU mapaka alipokufa 2006
 
Cherie Jamila : Orchestra Nova Success 70s

Papa Micky



Source : Josephine Kiwanuka
 
Orch. Kyauri Voice - 'Bangungi' Kosa Gani' - Bangungi (Mosquitoes)

The guy is compalaing why bangungi and banzinzi (flies) are biting him... kosa gani mi nafanya
Used to play live at Mpakani Bar, Mwenge Dar-es-Salaam Tanzania.
Mzee Hatibu Iteytey Saxaphone. lead Vocalists Bella Kabaa, Mukuna Mukuna Roy, Batii Osenga, Ngoy Ossi Senga, Mukumbule Parashi, Monga Staniel (Stan) and Kawelee Mutimwana lead guitar


Source: Eddie nassor
 
Kawele Mutimuana - "Wanasema Uridie Kasongo" (Orch. Maquiz du Zaire song) Live in England


Source : kawele mutimuana
..............................................................................
Iringa, Tanzania

Tancut Almasi Band
Kawalee Mutimuana mpiga gitaa mahiri akiwa na Tancut Almasi Band ya mjini Iringa Tanzania bendi iliyokuwa imesheheni wanamuziki kamili kina Skassy Kasambula, John Kitime, Mapacha Kyanga Songa ..



Source : Sulutani Kasambula
 
Back
Top Bottom