ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

kuna ule wimbo wa dr remmy akizungumzia dada mmoja mpangaji wake anaitwa hanifa/anifa kitu kama hicho nautafuta sana. pia napenda kuwajulisha kuwa nimefanikiwa kuupata wimbo wa shukran kwa mjomba kwenye mtandao nakula tu zilipendwa jumapili tulivu kama hii huku mvua ikinyesha kidogo kupunguza at least joto kwa C 1 toka ilipo. huu wimbo wa dr remmy mwenye nao tushirikiane. mimi ninazo zilipendwa kadhaa kwa atakayetaka nitamsaidia ila sijajua how to upload songs kwenye JF mp3
 
Jamani please mwenye wimbo wa Kindekunde wa Victoria Eleyson enzi za miaka 1993
 
Natafuta wimbo wa Francesca ulioimbwa na Tshimanga assossa akiwa na legho stars in 1990s
 
"unavyojitia kununa nuna bila sababu tutaja achana bure, nikuulizapo jambo huja juu, huja juu kipenzi changuu" huu wimbo ipo sauti ya gurumo,bichuka,. Hivi huu wimbo unaitwaje? na ulipigwa band gani? na mtunzi ni nani? pia mwenye audio yake anisaidie!
 
Super Kamanyola band...Mukumbule Lulembo Parash...Benno Villa Anthony...

Wiki iliyopita nilikuwa Mwanza...Hawa jamaa wanaweza kukuliza ukiwasikiliza live....Hawakosei
 
"unavyojitia kununa nuna bila sababu tutaja achana bure, nikuulizapo jambo huja juu, huja juu kipenzi changuu" huu wimbo ipo sauti ya gurumo,bichuka,. Hivi huu wimbo unaitwaje? na ulipigwa band gani? na mtunzi ni nani? pia mwenye audio yake anisaidie!
Kuna wimbo Sijui jinale Ila kuna mistari ipo naikumbuka kama hii "[emoji445]ona Sasa wivu wako nilikubembeleza, usiku mzima ubadili uamuzi wako nilijua waliokudanganya wako wapi, wamekuacha hunapakuanzia [emoji445]
Kama utakuwa unaupata huu wimbo nimvuzishia jina lake
 
Ujaju
 
Back
Top Bottom