Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
kuna ule wimbo wa dr remmy akizungumzia dada mmoja mpangaji wake anaitwa hanifa/anifa kitu kama hicho nautafuta sana. pia napenda kuwajulisha kuwa nimefanikiwa kuupata wimbo wa shukran kwa mjomba kwenye mtandao nakula tu zilipendwa jumapili tulivu kama hii huku mvua ikinyesha kidogo kupunguza at least joto kwa C 1 toka ilipo. huu wimbo wa dr remmy mwenye nao tushirikiane. mimi ninazo zilipendwa kadhaa kwa atakayetaka nitamsaidia ila sijajua how to upload songs kwenye JF mp3