mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Ali kiba akashindane na asley sio dimond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Domo ana viewa zaidi ya 15M vevo so hakuna jipya na hizo ni sababu za kitoto mara sijui robot mara sijui nn kubali tu kuwa pumzi imekata.
mbona unaniwakia mkuu mimi ata sio fns wa kiba mbonaSisi hatunaga ubaya ndo maana hatukimbilii kwnd kutia dislike kwny nyimbo za kiba lkn nyie ngoma ikitoka tu ya domo mnakimbia kama manyumbu kwnd kujaza dislike yaani kati ya fans manyumbu nyie mnaongoza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hata mimi nimefanya sasa hivi, nimeenda huku kisha nikaenda kule kuhakiki.
Like[emoji106] na dislike[emoji107] nazo naziona
Huyo ndio mond binladen
hamna kitu km icho robot kokotekote zina tembea account ya vevo ya lady gaga ishakutwa na ma robot ya kutosha kwny views
kutoka tofauti ya viewz laki 7 mpaka kuipiku kwa 882 hata kama angepiku watatu ila ndio ishapitwaaahata mimi nimefanya sasa hivi, nimeenda huku kisha nikaenda kule kuhakiki.
Na nyie izo view asingekuwa mange mngekuwa mnazisikia kwny bomba tuHizo VIEWS zigawanye kwa wasanii wote saba bila kumsahau salam_sk
Utapata kama VIEWS laki 7 hivi kila mtu wakati Kiba anabaki na VIEWS zake zooote 5 M
Asa iv ni 10M kwa mweziWatu tulishahama uko nyie bado mnaendeleA rekod ilikua ya week
Na mlikesha kweli hamkulala na kampeni ya mange iliwabust lkn baada ya mange kuacha kampeni ngoma imepwaya na asa iv ipo ICU......rekodi my foot...mashabiki wa alikiba walitaka wamuonyeshe mondi kwamb si kitu tulihitaji kuvunja record tu .nahizo ji views zakubooooost robot anausika apo
Ww unaona wakat upi?Unazungumzia wakati gan uliopo au uliopita [emoji1533]
Mm ni tim. Wizkid
Ujumbe umefika na kwa manyumbu wenzio.mbona unaniwakia mkuu mimi ata sio fns wa kiba mbona
tueshimiane mkuu [emoji123]Ujumbe umefika na kwa manyumbu wenzio.