Zimbabwe no way out

Nimekaa Mozambique tete pamoja na Beira ndo maana hata I'D yangu naitwa Beira boy

Tete wanaojiuza ni wazimbambwe , na wamalawi ukiwauliza kwanini wanakwambia maisha ya nchini mwao ni magumu sana

Njoo hapa kwetu Tanzania hali ni ile ile mabinti wanajiuza wengi mpaka unaogopa si Zanzibar,morogoro, mwanza au mbeya

Tuwaombee sana
 
Hapa wanajiuzia tamaa sio njaa mkuu
 
Hivi inasemekana Zimbabwe karibu robo tatu ya raia wake wapo SA ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…