Zimbabwe Vs Tanzania : Full Time Zimbabwe 3 Tanzania 0

Mpira wa bongo ni kununua mechi haya nunueni sasa
 
Hamna mpira hapo... Taifa stars wanacheze kama watoto wa Tandika maghorofani.
 
Vijana wetu wamezidiwa kweli kweli, ubovu umehamia kwenye beki line yetu sasa.
Sijui Mkwasa anasubiri nin kumtoa Msuva na Maguri,
 
KUSHABIKIA TAIFA STARS UNATAKIWA UWE NA MOYO MASHINE. HUU WA NYAMA HAUWEZI
 
Zimbabwe wapo very active utadhani kuna kombe, taifa stars tutacheza kwa mnato sana.... Tumezoea kupigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…