Zimbabwe Vs Tanzania : Full Time Zimbabwe 3 Tanzania 0

Huyu Boniphace Mkwasa afukuzwe.
Haiwezekani tokea Maximo au Paulson watoke hutupigi hatua!!!

Africa hatuna uwezo wa kufundishana mpira. Tukubali tu wazungu watufunze.

Huyu Mkwasa ndio bureeee!!!@
Una mawazo kma yangu huyu hamna kitu ana tuzingua tu
 
Hii timu imekaa kambini kwa siku ngapi... TFF wana kila sababu ya kulaumiwa, zile mechi za kumalizia mzunguko wa ligi kulikuwa hakuna haja ya kuzicheza, wangetoa nafasi kwa hii timu kuiandaa walau kuzoeana
 
Tumuombe radhi mzee kabla hajafa atengue kauli yake. Inauma sana kila MTU anajibondea tu dah!
Nilishawahi kusema hii kitu, mzee ruksa yupo hai tumuombe atengue kauli taifa lipone, watu wanakazana kuomba wakati alietoa laana yupo [emoji104]
 
Huyu Mkwasa kocha wa hovyo kabisa..Mechi ya kirafiki utadhani mashindano...Zimbabwe pamoja na kushinda wamefanya sub 3 so far..Yeye anang'ang'ania wachezaji hawahawa badala ya kujaribu wengine...

Tutapigwa 5 leo
Tulitaka kujaribu kocha mzawa nahisi inatosha sasa

Tutafute kocha wa nje mwenye Cv nzuri tumpe timu hata ikiwezekana wa Kijerumani atufundishe soka la Nguvu kwanza

Ref Burkard Pape akiwa mkurugenzi wa Ufundi FAT enzi hizo timu ilikua iko hot

Ikibeba kombe la Cattle.
 
Zimbabwe wakifungwa Mugabe atawaweka ndani wachezaji kama wale wa Olympic walivyorudi bila medali hata moja.
Ndio maana wamekaza hiv
 
Hii timu imekaa kambini kwa siku ngapi... TFF wana kila sababu ya kulaumiwa, zile mechi za kumalizia mzunguko wa ligi kulikuwa hakuna haja ya kuzicheza, wangetoa nafasi kwa hii timu kuiandaa walau kuzoeana
Hakuna aja ya kukaa kambini game kama izi kila mchezaji ametoka kucheza

Kocha ilikua ni kuunganisha timu tu na kutafuta mfumo isitoshe wachezaji wote anawafahamu
 
Inabidi tumuheshimu sana wakuitwa Diamond platnumz, maana ndo mtu pekee anaetufanya tupate heshima huko nje timu ya hovyo kabisa hii.
 
Nilichojifunza kwa wachezaji wa Zimbabwe ni commitment hakuna zaidi ya hicho
 
Nakubaliana na mdau mmoja hapo juu alisema bora tungekuwa tunapeleka timu ya dada zetu iliyopongezwa na mkulu kwa kuleta kombe
 
Infact timu yetu haina maandalizi.Tunacheza na timu inayocheza Afcon.Mkwasa hana uwezo bora aachie ngazi tu. Marefa wetu ni wabovu kabisa na ndiyo tunaona matokeo yake.
 
Nilichojifunza kwa wachezaji wa Zimbabwe ni commitment hakuna zaidi ya hicho
Sio commitment tu...timu inacheza kitimu..sisi huyu kocha uwezo wake ni kufundisha watoto wadogo ambao hawana mashindano yoyote..hatuna kocha wa kufundisha mfumo..kila mchezaji anacheza kivyake..
 
Hapa kazi tu, kila mahali pamebanwa, hata magoli hayapatikani... Namba zinasomeka Hii hali ni shida.

Hali ni ngumu kweli kweli mpaka uwanjani.πŸ™πŸ™πŸ˜΅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…