Zimbabwe: Wakamatwa kwa kuuza tiketi za kwenda mbinguni

Nadhani vichwani kwao kuna vinyesi;tuwaombee kipindi hiki cha pasaka,walikuwa wanafanya mambo bila wao kujua wanafanya nini.Pengine ilikuwa ni mazingaombwe watu wakaingia kichwakichwa kununua.Maana hata hata mateja huwa yanaogopa kufa.Iweje mtu na akili zako binafsi ununue ticket ya kwenda mbingun?Labda ilikuwa fools day sawa.

Inawezekana mkuu..lakini huu ni zaidi ya upumbavu...
 
Hivi sasa vituko eti tiketi ya kwenda mbinguni dola 99.99 maajabu hayo!!!!!!!
 
"Ni Yesu mwenyewe aliyenipa pale nyuma ya mgahawa wa KFC huku akiniambia nikauze ili nipate fedha za kwenda anga za juu. Jaribuni kumpeleka mtu asiye na hatia jela ndio mtakiona cha mtema kuni. Kama ni kukamata basi akamatwe Yesu kwasababu ndio yeye aliyenipatia hizi tiketi na kuniambia nikauze."

Nimecheka sana dah! Kweli madawa mabaya sana. Kama yule jamaa wa bongo aliyekutwa nayo kwenye mfuko wa shati airport na kusema hakuona.
 
waacheni jamani wapae waende mbinguni wakajivutie unga wao,kwani nini bwana?mbona kuna watu hapa duniani kazi yao ni kuua wenzao wasio na hatia kisha wakifika mbinguni mungu wao anawakabidhi wasichana mabikra...!!
 
1428237299721.jpgDunia inaumwa
 
Hahahaaaaa hahahaaaaaaa Hahhaahahahaha dunia ya Mola hii basi tu! Unawauzia watu tiketi za kwenda mbinguni ili upate pesa Za kwenda anga za juu ukavute cocaine bure

Hawa ni wagonjwa na wakiachwa wanaweza kusababisha maafa makubwa kwakuwa nyuma yao kuna kundi kubwa linawaamini!imagine wamekutwa na cash dola elfu10 tasilim

Kwa wanachofanya kina tofauti gani na kusema eti kuna mungu mahala huko juu na watu wakitenda mem wataenda kwake kuishi maisha mazuri?.Kitu ni kile kile lakini nyakati tofauti!.Na kwa nini unaona wao wanakosea sana kwa kile wanachosema bali wewe na imani yako ndiyo mko sahihi?.Nikisema nyie ni wabinafsi ntakuwa nimekosea?.

""Itakuwa ajabu sana mtu wa karne hii ya 21 kuamini kwamba akifa kuna mtu/kitu kitamuhukumu kwa kumchoma moto ama adhabu yoyote."-Free ideas
 
Wagalatia washaozea kutiana kama hao na dini yao ya magumashi...nilikuwa nawaheshimu sasa siwaheshimu tena sijui wamekula maharagwe ya wapi hao

#Zitto
 
Kwa wanachofanya kina tofauti gani na kusema eti kuna mungu mahala huko juu na watu wakitenda mem wataenda kwake kuishi maisha mazuri?.Kitu ni kile kile lakini nyakati tofauti!.Na kwa nini unaona wao wanakosea sana kwa kile wanachosema bali wewe na imani yako ndiyo mko sahihi?.Nikisema nyie ni wabinafsi ntakuwa nimekosea?.

""Itakuwa ajabu sana mtu wa karne hii ya 21 kuamini kwamba akifa kuna mtu/kitu kitamuhukumu kwa kumchoma moto ama adhabu yoyote."-Free ideas

Kwa wanachofanya kina tofauti gani na kusema eti kuna mungu mahala huko juu na watu wakitenda mem wataenda kwake kuishi maisha mazuri?.Kitu ni kile kile lakini nyakati tofauti!.Na kwa nini unaona wao wanakosea sana kwa kile wanachosema bali wewe na imani yako ndiyo mko sahihi?.Nikisema nyie ni wabinafsi ntakuwa nimekosea?.

""Itakuwa ajabu sana mtu wa karne hii ya 21 kuamini kwamba akifa kuna mtu/kitu kitamuhukumu kwa kumchoma moto ama adhabu yoyote."-Free ideas

Sijaelewa
 
Back
Top Bottom