Zimbabwe: Wakamatwa kwa kuuza tiketi za kwenda mbinguni

Zimbabwe: Wakamatwa kwa kuuza tiketi za kwenda mbinguni

Bora hao wezi kuliko wale MAGAIDI wafuasi wa....! wanao ua watu kwa Dini yao! Hivi MWIZI na MUUAJI bora yupi...???
 
Hahahah hawa ndugu zetu bana HAWAISHIWI vituko kila siku, Daah nimecheka hadi mbavu zinauma. Eti YESU alimpa pale nyuma ya mgahawa wa KFC Hahahhahaha"

"Utajiri mkubwa ni Akili ya kujitambua nafikiri"
 
Ukafiri ni ujuha! Huku tiketi za kwenda mbinguni, huko Afrika papai la kupata uzima wa milele, yaani ni shida tupu.
 
Ticket walipewa na yesu mungu MTU alive msarabani na wajinga wanasali kwenye PIC yake makubwa
 
Kuna tofauti gani kati ya hao mateja na dini? Maana dini zilizo nyingi nazo huwaambia wafuasi wao kuwa wakifanya mambo fulani ikiwemo kutoa kiasi fulani cha fedha kwa majina kama sadaka, zaka, fungu la kumi n.k watakuwa na uhakika wa kwenda mbinguni. Sasa kama tunawacheka waliouziwa tiketi na hao mateja basi na wafuasi wa dini nao inabidi wachekwe.
 
Sasa hivi watakuja kina Gwajima wengine a.k.a. watu kama hawa hapa Tanzania na kujifanya wao ndio mitume au manabii wa kidigitali. Tusubiri mwishowe.
 
jamaa kweli ni mtata,....hebu mwachen amrekodi huyo Yesu kwa kificho ili angalau tumsikie hata sauti yake tu

Ni wapi Yesu katamkwa wewe mwehu? Huyu siyo mkiristo, ni roho mpinga kiristo
 
Mmmh! wateja wao ni binadam kama sisi au avatars? au mateja wenzao?
 
Mmh..mpaka siku ya siku, waumini tutakuwa tumekomeshwa kweli kweli...
 
Back
Top Bottom