Zimbabwe: Wakamatwa kwa kuuza tiketi za kwenda mbinguni

Zimbabwean pastor arrested for selling "tickets to heaven"​

Pastor Tito Watts, a Zimbabwe based clergyman, and his wife, Amanda, were arrested for selling “tickets to heaven.”

According to the police, the Pastor and his wife scammed people into buying $500 tickets that shall get them into the gates of heaven, with no judgment.

Zimbabwean Pastor arrested for selling tickets to heaven for N180,000 Each

A Zimbabwe based clergyman, Pastor Tito Wats has been arrested by the police authority for financial crime.

According to the police, Pastor Tito Wats told thousands of people that it was Jesus

 
Huyo ana tofauti gani na aliyewadanganya misukule wake kuhusu mabikira 72 kwenye vijito vya mvinyo?
 
Waacha wee mashallah acha tushangilie na kucheza mchungaji kauza tiketi za kwenda mbinguni.

Wacha wee MAASHALLAH


View: https://youtube.com/shorts/_JZwtSJl_mI?si=64Ti01B4CdzmqcbA
 
Hawa wote ni wale wale waabudu weekend.
Ibada za kucheza miziki miskiti hakuna.
Lkn kwenye makanisa kuna Band za miziki kila namna.
Kwasakwasa, sumsumia, mchiriku na kadhalika.
Kwema mkuu MAASHALLAH
 
Du! Huyu ni zaidi ya Kibwetere aisee!
 
We unadhani kuweka hizo video kutafuta hii habari ya Mchungaji kuuza tickets za Mbinguni.?
🤣🤣🤣
Imani za kuzusha kazi kweli kweli
Kweeeeeemaaaaa🤣🤣🤣😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…