Zimbabweans discussing Kenya On twitter wondering how we took of from 7b Gdp in 1980 to 74.7 in 2018

don't feed the troll, btw huyu mkikuyu akili punguani ni Sammuel999 . he is back after the October2017 humiliation.
 
Kenya encompassed with basket cases for neighbors is a real set back to its progress. Despite being resource poor with only it's enterprising citizens as its greatest resourses,Kenya's star will always shine bright!
 
Yet EAC is another set back to the regional economy. I'm looking to see Kenya in the EU member country list
 
Vilaza hamna lingine ila kunijadili...ooh mimi sijui ni Geza ooh sijui mimi ni nani mwingine,sijui kabila langu...hahaha tulieni ninapo washika pabaya.😀😀😀
 
Pia hizo hela hamna aliyeiba, bali zilitumika kwenye matumizi ya miradi ya maendeleo ambayo haikuwa kwenye bajeti.

Hatuwezi thubutu kuwapa NCHI chama kilichojaa mafisi halafu hakina HATA sera.

Mnatumia nguvu nyingi....hehehe!! Nafuatilia mijadala kule JF jukwaa la siasa, wanaCCM online brigade naona wamekamatwa pabaya kule, wanapokea vichapo, nyuzi zinafunguliwa balaa.
 
Kenya encompassed with basket cases for neighbors is a real set back to its progress. Despite being resource poor with only it's enterprising citizens as its greatest resourses,Kenya's star will always shine bright!

Sometimes I even wish we were in West Africa or South Africa, a couple of competitive countries those sides. Ugandans are good though, only Museveni is failing them.
 
Sometimes I even wish we were in West Africa or South Africa, a couple of competitive countries those sides. Ugandans are good though, only Museveni is failing them.
Engineer..Mbegu zako ndizo hizi hapa haya tembeza mguu nyumbani uoteshe zingine zimee..😀😀😀
 
Mnatumia nguvu nyingi....hehehe!! Nafuatilia mijadala kule JF jukwaa la siasa, wanaCCM online brigade naona wamekamatwa pabaya kule, wanapokea vichapo, nyuzi zinafunguliwa balaa.

Weee kwa AKILI YAKO KWELI 1.5trio iibwe zama hizi? Weee subiri MAJIBU ndipo utakapojua UKWELI uko wapi!!
 
Weee kwa AKILI YAKO KWELI 1.5trio iibwe zama hizi? Weee subiri MAJIBU ndipo utakapojua UKWELI uko wapi!!

Zama zipi kaka wakati Bongo ni ile ile, yaani Watanzania mbona ni wale wale ninaowajua.
Tatizo wana habari wenu watepetevu sana, yaani wapo wapo tu, hawajui kudadavua taarifa hususan zinazohusu mahesabu, wengi labda utawakuta wamejazana kwenye taarifa za burudani.

Kuna jamaa amepost picha inayodhihirisha mapungufu ya wana habari wenu, hebu ione hapa chini kwamba Zitto anapigia makelele uchotwaji wa 1.5 trillion na wanaompa vinasa sauti ni wachache tu, lakini Diamond akiomba kikao na wanahabari wanamjazia vinasa sauti hadi anakosa pa kupumulia

Aibu kwa vyombo vya habari

Sasa nataka uone jinsi wanahabari wanastahili kuanika taarifa za mafisadi, ona media za Kenya hapa
 
Yaani Akili zako zimefika hapa? Idadi ya vinasa sauti ndio kipimo cha kuweka wazi habari za madai ya ufisadi? Ukumbuke huyu Zitto alichukua tu reporti ya CAG abayo serikali yenyewe bila kulazimishwa ilitagaza hadharani, kazi yake ilikuwa kutunga madai ya ufisadi kwa kufanya wrong interpretation of report..
 
Kenya was given the same privilege as South African in terms of ready-made world market in 70's 80's even 90's, but the GDP between Kenya and SA is jaw dropping.
Kenya has never ever been close to South Africa since the 19th century. Read your history my brother. When diamond and gold were discovered in the 19th century, South Africa's economy took off like a piece of sh*t. Infact, it attracted even some poor white people who left their countries just to go and live in South Africa. This wealth is one of the contributing factors to the great boers wars. Where the british and the dutch boers fought for land, resources and political autonomy. Never compare Kenya and South Africa because that makes you look illiterate even though i know you are well read. South Africa has always been the most developed country in Africa, and apart from Egypt, no other country comes close. Nigeria is just third world country with a big Gdp. By the way, did you know South Africa is a member of the G20. That tell's you all you need to know. That said i love Kenya my country and we are one of the success stories of the 21st century whether you like it or not
 
anybody who believes you attended 'bush' should have their head examined.
 
Wabongo wanaabudu wasanii. Hawana wakati na society issues. Ndio maana wanatafunwa wazima wazima huku wakidhani hamna ufisadi Tanzania.
 
Wabongo wanaabudu wasanii. Hawana wakati na society issues. Ndio maana wanatafunwa wazima wazima huku wakidhani hamna ufisadi Tanzania.
not only corruption but every other thing. freedom of media and expression is alien in tanzania and a journo won't be caught dead reporting negatively anything tanzanian.
***ask Gado to go back home and he'd rather die than set foot back home. pale akifika ni kunyongwa mara moja.
 
Wabongo wanaabudu wasanii. Hawana wakati na society issues. Ndio maana wanatafunwa wazima wazima huku wakidhani hamna ufisadi Tanzania.

Yaani inashangaza sana, ukilinganisha jinsi media za Kenya hupigia makelele ufisadi, yaani unakuta kila kituo analysis zinafanywa noma noma, wataalamu wanaalikwa wanabishana humo hadi kinaeleweka, sasa hawa wenzetu media zote zimeelekeza mapua yao yote na vinasa sauti vyote kwenda kwa Diamond.
Zitto Kabwe ameishia kuonekana kama wazimu anayeongea mwenyewe ilhali jamaa ametumia nguvu nyingi sana kuchanganua jinsi hizo hela zilikwapuliwa.
 
Pedestrian Thinking..what does your neighbour have todo with economic growth? isnt greece a neighbour to very rich EU nations? what about venezuela neighbouring s american economic giants?
So are you trying to say that the quality of neighbours a country has does not affect its economic potential?
 
Ukiwambia waketi waelezwe hawataki kuskiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…