Zimebaki siku 6 nchi iingie kwenye aibu nzito

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Yanga itacheza na Rivers Jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tanzania inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka.

Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye magazeti. Pre Season ya maana kabisa ilichezea kichapo kikali ikakata ringi kipindi cha kwanza tu. Pre season zingine imecheza na timu ndogo ndogo.

Furaha yangu Yanga afungwe. Mungu ibariki Rivers ya Nigeria
 
Yanga itacheza na Rivers jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tz inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka.

Pre season wanafanya na Pan African unategemea nini ,Sasa hivi wanakelele Sana kama kawaida yao,ngoja watandikwe na River United ,marudiano watandikwe tena halafu tunawamaliza kwenye ngao ya jamii kama hawajatimuana .
 
Hivi kwanini chadema ni watu wanaoichukia yanga?
 
Yanga itacheza na Rivers jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tz inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka.

Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye magazeti. Pre Season ya maana kabisa ilichezea kichapo kikali ikakata ringi kipindi cha kwanza tu. Pre season zingine imecheza na timu ndogo ndogo.

Furaha yangu Yanga afungwe. Mungu ibariki Rivers ya Nigeria
Jana wamecheza na Pan Africa timu sijui ya daraja la ngapi?
 
Yanga itacheza na Rivers jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tz inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka.

Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye magazeti. Pre Season ya maana kabisa ilichezea kichapo kikali ikakata ringi kipindi cha kwanza tu. Pre season zingine imecheza na timu ndogo ndogo.

Furaha yangu Yanga afungwe. Mungu ibariki Rivers ya Nigeria
Weka akiba ya maneno ndugu...
 
Binadamu wana roho mbaya mpaka kwenye mpira!..
 
Pre season wanafanya na Pan African unategemea nini ,Sasa hivi wanakelele Sana kama kawaida yao,ngoja watandikwe na River United ,marudiano watandikwe tena halafu tunawamaliza kwenye ngao ya jamii kama hawajatimuana .
Mpira hamuujui mnakariri tu. Mourinho akiwa kocha wa As Roma ya Italy msimu huu kacheza mechi ya pre season dhidi ya Raja Casablanca Manchester city kacheza hadi na timu inaitwa Yokohama na Blackpool. Mechi za majaribio wala haliangalii matokeo bali ni muunganiko wa timu na match fitness pamoja kuangalia mbinu za kiufundi kulingana na wachezaji waliopo.
 
Back
Top Bottom