Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Deal done!Yanga itacheza na Rivers Jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tanzania inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka.
Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye magazeti. Pre Season ya maana kabisa ilichezea kichapo kikali ikakata ringi kipindi cha kwanza tu. Pre season zingine imecheza na timu ndogo ndogo.
Furaha yangu Yanga afungwe. Mungu ibariki Rivers ya Nigeria