Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Haya tusubiri baada ya siku 6 uje kusoma hii comment yakoMpira hamuujui mnakariri tu. Mourinho akiwa kocha wa As Roma ya Italy msimu huu kacheza mechi ya pre season dhidi ya Raja Casablanca Manchester city kacheza hadi na timu inaitwa Yokohama na Blackpool. Mechi za majaribio wala haliangalii matokeo bali ni muunganiko wa timu na match fitness pamoja kuangalia mbinu za kiufundi kulingana na wachezaji waliopo.