OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Pre season wanafanya na Pan African unategemea nini ,Sasa hivi wanakelele Sana kama kawaida yao,ngoja watandikwe na River United ,marudiano watandikwe tena halafu tunawamaliza kwenye ngao ya jamii kama hawajatimuana .Yanga itacheza na Rivers jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tz inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka.
Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye magazeti. Pre Season ya maana kabisa ilichezea kichapo kikali ikakata ringi kipindi cha kwanza tu. Pre season zingine imecheza na timu ndogo ndogo.
Furaha yangu Yanga afungwe. Mungu ibariki Rivers ya Nigeria
Hivi kwanini chadema ni watu wanaoichukia yanga?Yanga itacheza na Rivers jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tz inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka.
Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye magazeti. Pre Season ya maana kabisa ilichezea kichapo kikali ikakata ringi kipindi cha kwanza tu. Pre season zingine imecheza na timu ndogo ndogo.
Furaha yangu Yanga afungwe. Mungu ibariki Rivers ya Nigeria
Futa hiyo kauli yako usiropoke hovyoHivi kwanini chadema ni watu wanaoichukia yanga?
Haji ataingia Uwanjani atawasemea baadae Rivers wataogopa...watapigwa 5....
Siasa na mpira wapi na wapi? Ccm akili zenu sijui huwa mnaziwekaga wapiHivi kwanini chadema ni watu wanaoichukia yanga?
Jana wamecheza na Pan Africa timu sijui ya daraja la ngapi?Yanga itacheza na Rivers jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tz inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka.
Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye magazeti. Pre Season ya maana kabisa ilichezea kichapo kikali ikakata ringi kipindi cha kwanza tu. Pre season zingine imecheza na timu ndogo ndogo.
Furaha yangu Yanga afungwe. Mungu ibariki Rivers ya Nigeria
Weka akiba ya maneno ndugu...Yanga itacheza na Rivers jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tz inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka.
Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye magazeti. Pre Season ya maana kabisa ilichezea kichapo kikali ikakata ringi kipindi cha kwanza tu. Pre season zingine imecheza na timu ndogo ndogo.
Furaha yangu Yanga afungwe. Mungu ibariki Rivers ya Nigeria
Mpira hamuujui mnakariri tu. Mourinho akiwa kocha wa As Roma ya Italy msimu huu kacheza mechi ya pre season dhidi ya Raja Casablanca Manchester city kacheza hadi na timu inaitwa Yokohama na Blackpool. Mechi za majaribio wala haliangalii matokeo bali ni muunganiko wa timu na match fitness pamoja kuangalia mbinu za kiufundi kulingana na wachezaji waliopo.Pre season wanafanya na Pan African unategemea nini ,Sasa hivi wanakelele Sana kama kawaida yao,ngoja watandikwe na River United ,marudiano watandikwe tena halafu tunawamaliza kwenye ngao ya jamii kama hawajatimuana .
Yule dawa yake ni kumweka juani na kumvua kofia hadi ababukeMsukule waliouchukua hauwezi kuwaletea ushindi ?[emoji16]