Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Sorry, typing error nilikuwa namaanisha vp. Kwani kuna uhakika kuwa pm atabaki Majaliwa?PM hakuwa muislamu.. Lowassa na Pinda.. tatizo kwa sasa tayari rais na PM ni waislamu so VP lazima awe mkristo.
Hasara kwa wanao kulishaZa kiduku Robert Amsterdam!
Tusubiri mkuu,muda haudanganyi.Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
🤣🤣 Nimecheka sana!!, Wizara ya afya inakoelekea kama hazitachukuliwa jitihada za haraka kuinusuru tunaenda kuipoteza. Gwajima+Mollel,, sijui jiwe alifikiriaga nini au ndio kutokushauriwafield Marshall, Hon. Gwajima (she)...sitak mje mniite nabii
Excuse us...atafanya njama samia apotee!January atatufaa
Sioni kama rais atafanya mabadiliko makubwa hivyo maana inaonesha wanaendelea alipoishia jpm.Sorry, typing error nilikuwa namaanisha vp. Kwani kuna uhakika kuwa pm atabaki majaliwa?
Kujaza nafasi ya ubunge haijawahi kuwa kitu kigumu hapa tzMf. January akawa VP anaacha ubunge?
Kama haachi atatumikia nafasi zote mbili?
Kama anaacha nani anashika jimbo lake?
Hahahahahaa waliomshauri Mzee Baba Wizara ya Afya amuweke huyu GWAJIMA WA KIKE ndio wanaopigia Chapuo awe VP waTz. Yanayoendelea huko mjengoni, mbona mtanikumbuka🤣🤣 Nimecheka sana!!, Wizara ya afya inakoelekea kama hazitachukuliwa jitihada za haraka kuinusuru tunaenda kuipoteza. Gwajima+Mollel,, sijui jiwe alifikiriaga nini au ndio kutokushauriwa
Jumatatu subiri blinking newsWakuu
Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.
Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Sorry, typing error nilikuwa namaanisha vp. Kwani kuna uhakika kuwa pm atabaki majaliwa?
Wivu tu. Jiandae kisaikolojiaExcuse us...atafanya njama samia apotee!
Kisiasa kuendeleza alipoishia jpm kuna maana gani?. Inawezakuwa ni kufanikisha ilani ya chama maana ndo mwongozo. Kutekeleza ilani ya chama si lazima utumie mtindo wa Jpm.Sioni kama rais atafanya mabadiliko makubwa hivyo maana inaonesha wanaendelea alipoishia jpm.
Lazima awe wa imani tofauti na RaisLabda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Kigezo asiwe mbunge..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]