Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Mf. January akawa VP anaacha ubunge?
Kama haachi atatumikia nafasi zote mbili?
Kama anaacha nani anashika jimbo lake?