Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

Namna waziri mkuu alivyokuwa anaongea haioneshi kuwa anampango wa kuondoka/kuondolewa otherwise alikuwa anamtishia mama asiwaze kumtoa.. alikuwa na zile "tupo na tutaendelea kukusaidia".
 
Wakuu

Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.

Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Nani anayemuapisha Makamu wa Rais Ni Rais au Jaji Mkuu?
 
Huyo Nchimbi aliyeasi baada ya Lowasa kukatwa jina?? Unadhani bila ya wazee kuingilia kati,Nchimbi asingepata hata huo ubalozi! Nchimbi hafai hata kidogo! Nchimbi akiwa VP ,Samia ajiandae kutoka 2025!
Well said comrade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…