peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mjiandae tena kwenda Kilosa kulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namna waziri mkuu alivyokuwa anaongea haioneshi kuwa anampango wa kuondoka/kuondolewa otherwise alikuwa anamtishia mama asiwaze kumtoa.. alikuwa na zile "tupo na tutaendelea kukusaidia".Kisiasa kuendeleza alipoishia jpm kuna maana gani?. Inawezakuwa ni kufanikisha ilani ya chama maana ndo mwongozo. Kutekeleza ilani ya chama si lazima utumie mtindo wa Jpm.
Kwani Kuendeleza alipoishia Jpm na kuongoza kwa mtindo wa Jpm ni kitu hichohicho?
Uwezekano ni mkubwa pm akabaki, ila akibadilishwa haitamaanisha kuwa haendelezi ilani ya chama. Tukumbuke Jpm alipaswa kutekeleza ilani ya chama hivyo Samia ataendeleza hilo.
Nani anayemuapisha Makamu wa Rais Ni Rais au Jaji Mkuu?Wakuu
Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.
Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Anajiita Palamagamba Aidan Mwaluko John Kabudi.Mzaliwa wa Kilombero na Dodoma."Kalamaganda Kabugi"
Ni jaji mkuu.Nani anayemuapisha Makamu wa Rais Ni Rais au Jaji Mkuu?
Mbona Kikwete alikuwa na Shein na Bilal wote waislamu?Lazima awe wa imani tofauti na Rais
Huyo mtu wako si anagombea tls?Kigezo asiwe mbunge..
Tabasamu hilo vipi?
Kwa maana ya January ama?Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Nadhani ile ilifanyika vile kwa kubalance Visiwani na Bara mkuuMbona Kikwete alikuwa na Shein na Bilal wote waislamu?
Waziri mkuu alikuwa mkristo.. sasa hapa waziri mkuu tayari ni muislam.Mbona Kikwete alikuwa na Shein na Bilal wote waislamu?
Well said comradeHuyo Nchimbi aliyeasi baada ya Lowasa kukatwa jina?? Unadhani bila ya wazee kuingilia kati,Nchimbi asingepata hata huo ubalozi! Nchimbi hafai hata kidogo! Nchimbi akiwa VP ,Samia ajiandae kutoka 2025!
Mawaziri wakuu wake walikuwa wakristo, lowasa, pinda...mara nyingi 3 bora muhimu iwe na mchanganyikoMbona Kikwete alikuwa na Shein na Bilal wote waislamu?
Wewe unajua maana ya muislamu lakini?Waziri mkuu alikuwa mkristo.. sasa hapa waziri mkuu tayari ni muislam.
Mkuu Mungu na mungu ni tofauti,wa duniani ni mungu na wa mbinguni ni MunguAnajiita Palamagamba Aidan Mwaluko John Kabudi.Mzaliwa wa Kilombero na Dodoma.
Waziri pekee aliyemtambua Magufuli kama Mungu!.
Kwamba Majaliwa hatambuliki kwa maulamaa? Sababu ya mke mkristo? Tusibaguane.Wewe unajua maana ya muislamu lakini?
Huyu wanted ataharibu badala ya kujenga,Paul Makonda,kipenzi cha mama...VP
Wachaa!Huyo mtu wako si anagombea tls?