Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Kikwete leo alikuwa anajikosha tu, nani hajui kuwa alipanga Membe achukue nchi!? Aaaagh!Kikwete leo kasema yeye ndio alipeleka majina matano kwa kamati ya ulinzi na usalama na kisha kuyapeleka cc ingawa walioomba walikuwa 38. Maana yake ni kuwa utaratibu wa cc haukufuatwa na hivyo Nchimbi alikuwa sahihi kupinga.
Inawezekana upo sahihi kabisa boss.Namna waziri mkuu alivyokuwa anaongea haioneshi kuwa anampango wa kuondoka/kuondolewa otherwise alikuwa anamtishia mama asiwaze kumtoa.. alikuwa na zile "tupo na tutaendelea kukusaidia".
Mdomo umeuzidi ubongo wake. Afu kwani kafikisha 40 years?Paul Makonda,kipenzi cha mama...VP
Inawezekana kabisa kubadilishwa ila naona mama atakuwa ameanza vibaya akifanya hivyo. Atajitafutia maadui pasipo sababu za msingi. Sidhani kama ataenda njia za hivyo kama mtangulizi wake.Inawezekana upo sahihi kabisa boss.
Lakini tusikariri maana siasa ni siasa, majaliwa kumsaidia raisi si lazima awe pm. Anaweza kuwa raia wa kawaida na akamsaidia kwa kufanya biashara na kulipa kodi sahihi au ushauri.
Yaani mama Samia akiamua kumbadili inawezekana kabisa na maneno aliyoyazungumza bado yakawa na utetezi kisiasa.
January na Nchimbi wana nafasi kubwa though January ni Mbunge wa kuchaguliwa sasa sijui kama katiba inasemaje kuhusu candidate wa umakamu anatakiwa kuwa na sifa zipiLabda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
atateuliwa mbunge........simbachawene outMdomo umeuzidi ubongo wake. Afu kwani kafikisha 40 years?
Ila maelezo yake yalinyooka alipozielezea familia zao na ukaribu uliopo. Anyway, kikwete huwa anaweza sana kuongea moja akimaanisha lingine.Kikwete leo alikuwa anajikosha tu, nani hajui kuwa alipanga Membe achukue nchi!? Aaaagh!
Maadui hawakwepeki. Hata asipobadilisha atajitengenezea maadui wanaotaka abadilishe.Inawezekana kabisa kubadilishwa ila naona mama atakuwa ameanza vibaya akifanya hivyo. Atajitafutia maadui pasipo sababu za msingi. Sidhani kama ataenda njia za hivyo kama mtangulizi wake.
Yeah, sure.Maadui hawakwepeki. Hata asipobadilisha atajitengemezea maadui wanaotaka abadilishe. La msingi hapa ni tuheshimu maamuzi ya raisi atakapoyafanya.
We January acha kujipigia promoJanuary atatufaa
Anaitwa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, alizaliwa Kilimatinde, Manyoni, Singida. Baba yake (Mchungaji na Mwalimu) ni Mgogo na mama yake (Mwalimu) ni Mkaguru wa Kilosa.Anajiita Palamagamba Aidan Mwaluko John Kabudi.Mzaliwa wa Kilombero na Dodoma.
Waziri pekee aliyemtambua Magufuli kama Mungu!.
Watoto watajulia wapi? Hawaelewi hata Malecela alikuwa Muislam kwa muda miaka ile ya 90 alipotoka kwa AyatollahWewe unajua maana ya muislamu lakini?
Wangefanya mapunziko ya kitaifa siku anaapishwa.Wakuu
Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.
Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Hakuna hata m1 hapo....nmeziona takataka mbilo hapo hazifai hata chembeLabda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Hata mimi niliwaza hivyo.Namna waziri mkuu alivyokuwa anaongea haioneshi kuwa anampango wa kuondoka/kuondolewa otherwise alikuwa anamtishia mama asiwaze kumtoa.. alikuwa na zile "tupo na tutaendelea kukusaidia".
Pm hakuwa muslim!Mbona Kikwete alikuwa na Shein na Bilal wote waislamu?