Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

Kikwete leo kasema yeye ndio alipeleka majina matano kwa kamati ya ulinzi na usalama na kisha kuyapeleka cc ingawa walioomba walikuwa 38. Maana yake ni kuwa utaratibu wa cc haukufuatwa na hivyo Nchimbi alikuwa sahihi kupinga.
Kikwete leo alikuwa anajikosha tu, nani hajui kuwa alipanga Membe achukue nchi!? Aaaagh!
 
Namna waziri mkuu alivyokuwa anaongea haioneshi kuwa anampango wa kuondoka/kuondolewa otherwise alikuwa anamtishia mama asiwaze kumtoa.. alikuwa na zile "tupo na tutaendelea kukusaidia".
Inawezekana upo sahihi kabisa boss.

Lakini tusikariri maana siasa ni siasa, majaliwa kumsaidia raisi si lazima awe pm. Anaweza kuwa raia wa kawaida na akamsaidia kwa kufanya biashara na kulipa kodi sahihi au ushauri.

Yaani mama Samia akiamua kumbadili inawezekana kabisa na maneno aliyoyazungumza bado yakawa na utetezi kisiasa.
 
Inawezekana kabisa kubadilishwa ila naona mama atakuwa ameanza vibaya akifanya hivyo. Atajitafutia maadui pasipo sababu za msingi. Sidhani kama ataenda njia za hivyo kama mtangulizi wake.
 
Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015

Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.

Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
January na Nchimbi wana nafasi kubwa though January ni Mbunge wa kuchaguliwa sasa sijui kama katiba inasemaje kuhusu candidate wa umakamu anatakiwa kuwa na sifa zipi
 
  • Thanks
Reactions: Wdl
Kikwete leo alikuwa anajikosha tu, nani hajui kuwa alipanga Membe achukue nchi!? Aaaagh!
Ila maelezo yake yalinyooka alipozielezea familia zao na ukaribu uliopo. Anyway, kikwete huwa anaweza sana kuongea moja akimaanisha lingine.
 
Inawezekana kabisa kubadilishwa ila naona mama atakuwa ameanza vibaya akifanya hivyo. Atajitafutia maadui pasipo sababu za msingi. Sidhani kama ataenda njia za hivyo kama mtangulizi wake.
Maadui hawakwepeki. Hata asipobadilisha atajitengenezea maadui wanaotaka abadilishe.

La msingi hapa ni tuheshimu maamuzi ya raisi atakapoyafanya na apewe nafasi ya kupimwa utendaji wake.

Pia asipimwe kwa kuendeleza mtindo wa uongozi wa Jpm bali apimwe kwa misingi ya katiba, sheria na ilani ya chama.
 
Anajiita Palamagamba Aidan Mwaluko John Kabudi.Mzaliwa wa Kilombero na Dodoma.

Waziri pekee aliyemtambua Magufuli kama Mungu!.
Anaitwa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, alizaliwa Kilimatinde, Manyoni, Singida. Baba yake (Mchungaji na Mwalimu) ni Mgogo na mama yake (Mwalimu) ni Mkaguru wa Kilosa.

Baadae wazazi wake walihamia Mvumi Makulu, Chamwino, Dodoma.
 
Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015

Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.

Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Hakuna hata m1 hapo....nmeziona takataka mbilo hapo hazifai hata chembe
 
Namna waziri mkuu alivyokuwa anaongea haioneshi kuwa anampango wa kuondoka/kuondolewa otherwise alikuwa anamtishia mama asiwaze kumtoa.. alikuwa na zile "tupo na tutaendelea kukusaidia".
Hata mimi niliwaza hivyo.
Facial expression yake ilibeba mambo mengi.
 
Back
Top Bottom