Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Kikwete leo alikuwa anajikosha tu, nani hajui kuwa alipanga Membe achukue nchi!? Aaaagh!Kikwete leo kasema yeye ndio alipeleka majina matano kwa kamati ya ulinzi na usalama na kisha kuyapeleka cc ingawa walioomba walikuwa 38. Maana yake ni kuwa utaratibu wa cc haukufuatwa na hivyo Nchimbi alikuwa sahihi kupinga.