Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

Huyo Nchimbi aliyeasi baada ya Lowasa kukatwa jina?? Unadhani bila ya wazee kuingilia kati,Nchimbi asingepata hata huo ubalozi! Nchimbi hafai hata kidogo! Nchimbi akiwa VP ,Samia ajiandae kutoka 2025!

Kimaadili nchimbi yukoje? Mfuasi wa Mzee mamvi anaweza kuwa mwadilifu kweli?
 
Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015

Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.

Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Hakuna kitu hapo!! Yule wa niguse ninuke aliguswa badala ya kunuka akanukia na kuishia jalalani! Yule jana ya february hakuendana na JPM, ni mbinafsi zaidi! aliyebaki keshajichokea tayari!!
 
1. Wasiweke VP ambae atakuwa kikwazo kwa President. Mtamchanganya mmama wa watu ashindwe Ku contrate Na kazi ya urais aanze kuhangaikia mengine

2. Msimweke aliyekuwa anamletea uhuni Na kumvuruga baba Jeska. Italeta precedence mbaya hapo baadae Na washabiki wa jiwe ufanyaji kazi nae utakuwa wa shida

3. Hili linchi ni likubwa Na Lina watu wengi tu wenye uwezo Na waadilifu Na wanaoipenda nchi hii. Msijifungie ndani ya boksi Na hao hao wachache mliowazoea Na wanaojipigia debe humu Na penginepo

4. Wekeni VP mkristo. Balansisheni ikwesheni angalau. Katika watatu wa Juu lazima angalau mmoja awe wa dini tofauti msijesema hamumuoni hata mkristo mmoja utakuwa uongo. Nchi kubwa hii
 
seating arrangements ya jana kwa wote tulioangalia LIVE inatosha kuonyesha Taifa nani wako nyuma ya Urais wa Mh Samia
Ile hotuba ya CDF ni warning ya wote walioficha kifo cha Rais ili “wapindue” serikali !!!! ni ONYO !!
TPDF inaenda kusimamia reforms ndani ya IDARA YA USALAMA SOON

Brig Ibuge a TPDF man ndio anasimamia affairs za ikulu na sio Bashiru
Kumbukeni alishahamishiwa Foreigh kama Katibu Mkuu lakini toka samia wa samaki ameingia yeye ndio anaonekana right hand kila mahali mara nyingine kama role ya mkuu wa itifaki na “Katibu mkuu kiongozi”
na mara zote katibu mkuu kiongozi amekalishwa nyuma kule kama wageni waalikwa wengine .. show zote ndani ya ikulu mnajua sasa nani anasimamia
wale ambao bado hawaelewi waendeleee kujaribu waone!!!!
 
Naona lukuvi akiwa ana ulinzi wa kificho sijajua atakua na post ipi.
Kama hana mashikamano Na majizi lukuvi anafaa katika katika moja ya nafasi 3 za nchi. Tatizo siku za hivi katibuni nimemuona anakuwa Na ukali Kali kwa watu wadogo wadogo
 
Nina mashaka hapa mkuu maana sitegemei awe mwanamke.. wala awe wa imani moja na mhe Raisi na ofcourse hawezi kuwa Membe.
Makamu wa Rais wa Kikwete alikuwa Gharib Bilal,Muislamu.
Anaweza kutoswa Majaliwa ili awekwe Mkiristo na nafasi ya makamu iende kwa Kijana mtanashati,mtaratibu na aliyewahi kufanya kazi na Raisi wa sasa.
TUKUMBUKE tu kwa hili lililotokea makamu wa Rais anatakiwa awe a real presidential material.Mkiweka fafa,Allah akafanye yake mnakuwa na Rais fafa.
Busara itangulie!!
 
Back
Top Bottom