GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Yuko nje ya mkondo wa majiKwani hivi sasa mini kinamzuia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko nje ya mkondo wa majiKwani hivi sasa mini kinamzuia?
O. sefue au W. Lukuvi anasubiri kula shavu hapo
Kwa jinsi Kabudi alivyojipenyeza front fed hasa kipindi hiki cha msiba, anything can happen.Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
PM muislam kipindi cha JK ?!?Hili suala la dini ni serious? Maana JK alikuwa na PM muislam.
Endelea kusoma mbele boss.PM muislam kipindi cha JK ?!?
Mbona Kikwete alikuwa na Shein na Bilal wote waislamu?
Kwani lazima PM abaki huyo?PM hakuwa muislamu.. Lowassa na Pinda.. tatizo kwa sasa tayari rais na PM ni waislamu so VP lazima awe mkristo.
Hamna kitu hapoLabda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Huyo Nchimbi aliyeasi baada ya Lowasa kukatwa jina?? Unadhani bila ya wazee kuingilia kati,Nchimbi asingepata hata huo ubalozi! Nchimbi hafai hata kidogo! Nchimbi akiwa VP ,Samia ajiandae kutoka 2025!
Hakuna kitu hapo!! Yule wa niguse ninuke aliguswa badala ya kunuka akanukia na kuishia jalalani! Yule jana ya february hakuendana na JPM, ni mbinafsi zaidi! aliyebaki keshajichokea tayari!!Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Kwa vyovyote wewe ni ndugu na afande selleJanuary atatufaa
Hatutaki weziJanuary atatufaa
Kama hana mashikamano Na majizi lukuvi anafaa katika katika moja ya nafasi 3 za nchi. Tatizo siku za hivi katibuni nimemuona anakuwa Na ukali Kali kwa watu wadogo wadogoNaona lukuvi akiwa ana ulinzi wa kificho sijajua atakua na post ipi.
Makamu wa Rais wa Kikwete alikuwa Gharib Bilal,Muislamu.Nina mashaka hapa mkuu maana sitegemei awe mwanamke.. wala awe wa imani moja na mhe Raisi na ofcourse hawezi kuwa Membe.
Sawa mkuu. Tuombe uzimaHuyo harudi kwenye baraza la mawaziri hata siku moja...
Alimwibia nani? By the way ccm wote ni weziHatutaki wezi