Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015

Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.

Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!

Hakuna. Hayupo VP hapo kwa sababu vigezo, busara na utamaduni na mazoea yanawa disqualify wote..

1. Migiro na Amina - Ni wanawake. Tayari tunaye president mwanamke, basically anayepaswa kuwa VP sharti awe mwanaume

2. January Makamba Jr - kigezo cha dini kinamtupa nje. Hii siyo sheria ni busara, hekima na utamaduni wetu kwa kuwa Tanzania ni mchanganyiko wa dini nyingi. Vi vyema ku - diversify uongozi wa juu wa nchi..

Defenetely, VP atakuwa Mkristo toka ktk dini ya KIKRITO miongoni mwa dini kuu mbili yaani uislamu na ukristo ..

3. Benard Membe. Alijiharibia kuhama chama. Inaonesha ni mtu asiye na subira. Huyu ni 50/50 kuikwaa nafasi hiyo. Ni kwa neema tu anaweza kuwa VP

Hopefully, VP atatoka nje kabisa ya kundi hili
 
Binafsi nilikuwa namuona January kwenye hiyo nafasi ila tangu wadau wanitolee macho kuwa jamaa haitawezekana kutokana na dini, basi karata yangu nairusha kwa Nchimbi, hata nikititazama utendaji wake alipokuwa kiongozi wa UVCCM na jinsi anavyokijua chama, hapo naona kabisa anaweza kupata nafasi.
mi sielewi umuhimu wa dini ya mtu kama anaenda kutekeleza majukumu ya kikatiba dini yake inatuhusu nini awe mkristo,muislam,hindu,budha au atheist as along as katiba na sheria za nchi ndo muongozo wake it doesnt matter.
 
Salamu wakuu

Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.

Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Ambaye hana tungo tata
 
FB_IMG_1616748498352.jpg

Ni yeye
 
Sasa mkuu kuna ambaye siyo mwizi huko ccm? Nitajie mmoja ambaye siyo mwizi na fisadi mwandamizi hata kama amekufa we mtaje
Akikutajia nitagg please nije nimshangae huyo Msafi halafu yuko/alikua CCM
 
Mnavopendekeza jina la makamu kumbukeni ni lazima awe presidential material kwamba kama lolote litatokea yeye ndio atakuwa rais wa nchi. Be careful and watch it.
 
PM muislam kipindi cha JK ?!?
Rais wa JMT alikuwa Muislam
Makamu wake alikuwa Muislam
Rais wa Zanzibar alikuwa Muislam
Makamu wake Muislam
PM wa Zanzibar Muislam
Mawaziri wote waislam
Wanasheria wakuu wote wa bara na visiwani waislam kama ilivyo sasa
 
Udini usipewe nafasi maana serikali haina dini!

Apatikane mtu mwenye uwezo mzuri wa kutumikia waTZ kwa ufanisi mkubwa ili tusonge mbele.
Kwa Watu wenye akili na wawezao kupima mambo inabidi ateuliwe Mkristo kwasababu wapo wengi tu wenye elimu, uwezo na uzoefu wa kuongoza labda kama hakuna Wakristo wenye sifa
 
Back
Top Bottom