Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Hewalla. Kuna jamaa wamemsalia Afande Sele dua mbaya ili afe lakini mungu wao kashindwa kumuuaKwa vyovyote wewe ni ndugu na afande selle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hewalla. Kuna jamaa wamemsalia Afande Sele dua mbaya ili afe lakini mungu wao kashindwa kumuuaKwa vyovyote wewe ni ndugu na afande selle
Looh kumbe huku Tanganyika kuna udini kiasi hiki? Kwani anatakiwa ku-apply ukiristo huko kwa muhimu wa Katiba??Waziri mkuu alikuwa mkristo.. sasa hapa waziri mkuu tayari ni muislam.
Kwa mujibu wa katibaLooh kumbe huku Tanganyika kuna udini kiasi hiki? Kwani anatakiwa ku-apply ukiristo huko kwa muhimu wa Katiba??
Bumbuli Saccos funded by NSSFAlimwibia nani? By the way ccm wote ni wezi
Sasa mkuu kuna ambaye siyo mwizi huko ccm? Nitajie mmoja ambaye siyo mwizi na fisadi mwandamizi hata kama amekufa we mtajeBumbuli Saccos funded by NSSF
Kwa jinsi Kabudi alivyojipenyeza front fed hasa kipindi hiki cha msiba, anything can happen.
Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
January atatufaa
Wawili, Amina na January(japo huwa kama anaigiza uislam huyu Mkatoliki ahahah).Kwenye orodha hiyo muislamu ni mmoja!
mi sielewi umuhimu wa dini ya mtu kama anaenda kutekeleza majukumu ya kikatiba dini yake inatuhusu nini awe mkristo,muislam,hindu,budha au atheist as along as katiba na sheria za nchi ndo muongozo wake it doesnt matter.Binafsi nilikuwa namuona January kwenye hiyo nafasi ila tangu wadau wanitolee macho kuwa jamaa haitawezekana kutokana na dini, basi karata yangu nairusha kwa Nchimbi, hata nikititazama utendaji wake alipokuwa kiongozi wa UVCCM na jinsi anavyokijua chama, hapo naona kabisa anaweza kupata nafasi.
Ambaye hana tungo tataSalamu wakuu
Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.
Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Wampe hata Aggrey Mwanri
Yule aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora..!
Akikutajia nitagg please nije nimshangae huyo Msafi halafu yuko/alikua CCMSasa mkuu kuna ambaye siyo mwizi huko ccm? Nitajie mmoja ambaye siyo mwizi na fisadi mwandamizi hata kama amekufa we mtaje
Lile jengo la UVCCM pale opposite na Barabara ya Lumumba inapoanzia tuliambiwa kuna Wana CCM wana apartments zao. Yaan jengo ni la CCM lakini haimiliki vyumba vyote, baadhi ya apartments kodi inachukuliwa (inaliwa) na watu binafsi.
Rais wa JMT alikuwa MuislamPM muislam kipindi cha JK ?!?
Kwa Watu wenye akili na wawezao kupima mambo inabidi ateuliwe Mkristo kwasababu wapo wengi tu wenye elimu, uwezo na uzoefu wa kuongoza labda kama hakuna Wakristo wenye sifaUdini usipewe nafasi maana serikali haina dini!
Apatikane mtu mwenye uwezo mzuri wa kutumikia waTZ kwa ufanisi mkubwa ili tusonge mbele.