Zinaa kutangazwa hadharani, ni moja kati ya dalili 4 za nyakati za mwisho, kwa mujibu wa Quran

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Dalili hizo ni pamoja na:-
1. Riba kuongezeka sana.
Hivi sasa mikopo ya kausha damu iko kila mahala, mpk mitandaoni.
2. Wanaume kuoana wenyewe kwa wenyewe. Mashoga yapo kila mahala duniani kote, na ndoa zishaanza kufungiwa.
3. Wanawake kuunganisha nywele zao na zile za bandia, ili zionekane ndefu.

Kushonea nywele na kuvaa nywele za bandia (mawigi), imekuwa fashion.
4. Zinaa kutangazwa hadharani.
Hivi sasa imekuwa kawaida kabisa mtu kujisifia kwa uzinzi, kuchepuka, kuzaa nje ya ndoa, kuvaa nusu uchi, n.k.

Screenshot_20240915-231932.png

MUNGU ATUNUSURU.
 
View attachment 3097036

MUNGU ATUNUSURU.
Ukiangalia mdomo wa huyo jamaa kuna ujumbe utaupata, ni kama amewekeza Uvinza
 
Back
Top Bottom