Zinazodaiwa kuwa Meseji za Polisi wakichat kumteka Heche zavuja

Zinazodaiwa kuwa Meseji za Polisi wakichat kumteka Heche zavuja

Kamanda wa Polisi mwenye level hata ya kituo cha kata hawezi name-call mtu anayetafutwa. Wangeandika H, X, au wangekuwa wanamuita jina fulani kwenye medani yao.
Sio kutaja jina kabisa na kutaja tukio kuhashiria uhalifu. Hata vilaza hawafanyi hivi.
You could be right; but we're dealing with extraordinary individuals.
Hawa wamelewa kabisa madaraka, wanajuwa wako level yao ya kipekee sana even to contemplate what you're imagining.
 
Kamanda wa Polisi mwenye level hata ya kituo cha kata hawezi name-call mtu anayetafutwa. Wangeandika H, X, au wangekuwa wanamuita jina fulani kwenye medani yao.
Sio kutaja jina kabisa na kutaja tukio kuashiria uhalifu. Hata vilaza hawafanyi hivi.
Hiyo ni namna moja ya kufikiri. Namna nyingine ambayo hujaifikiri ni Je kama walijua wapo salama na hakuna anaye weza kuvujisha chat zao na hivyo waka amua tu kujiachia kwakuwa wanaaminiana na wesha kula viapo? Rejea speech ya mafwele akiwahitubia polisi siku kadhaa kabla ya uchaguzi. Alikuwa tu anataja watu bila kujali
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Umeme, maji, Madini, nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA


AMKENI WATANGANYIKA
 
Screenshot_20260616-173300~2.png
 
Back
Top Bottom