Zinazodaiwa kuwa Meseji za Polisi wakichat kumteka Heche zavuja

Zinazodaiwa kuwa Meseji za Polisi wakichat kumteka Heche zavuja

Kamanda wa Polisi mwenye level hata ya kituo cha kata hawezi name-call mtu anayetafutwa. Wangeandika H, X, au wangekuwa wanamuita jina fulani kwenye medani yao.
Sio kutaja jina kabisa na kutaja tukio kuashiria uhalifu. Hata vilaza hawafanyi hivi.
Polisi hawana akili.
 
Hakuna wa kuandamana sabasaba itapita kwa utulivu kabisa

Kwa ufupi, hadi sasa waandamanaji tayari wameshashinda kimtizamo na ujumbe wameshawakilisha hata kama maandamano yatakuwa hayapo

serikali kupitia viongozi wake kuanzia waziri mkuu, mkuu wa mkoa, mawaziri washapaniki na kutoa matamko ya vitisho
Sabasaba itadorora hiyo ni hasara, ulinzi utaimarishwa siku hiyo kwa gharama kubwa
 
Attachments

  • downloadfile(5).png
    downloadfile(5).png
    1.1 MB · Views: 11
Bado naamini Nduthi anaweza kuwa ni Kingai.

Huyu mtu hasikiki sana, lakini matendo yake ni hatari sana. Yeye na Madillu wana jambo lisilokuwa la kawaida kwa taifa hili.
Mwingine aliyekaribu na maswala ya aina hii ni Jumanne Muliro; lakini bado nabaki na Kingai.
Hapo nafikiri ni yule Bageni aliyekua anaongoza vibaka wa policcm kupiga wanachadema mahakamani mwaka jana.
 
Back
Top Bottom