Zinazodaiwa kuwa Meseji za Polisi wakichat kumteka Heche zavuja

Zinazodaiwa kuwa Meseji za Polisi wakichat kumteka Heche zavuja

Kamanda wa Polisi mwenye level hata ya kituo cha kata hawezi name-call mtu anayetafutwa. Wangeandika H, X, au wangekuwa wanamuita jina fulani kwenye medani yao.
Sio kutaja jina kabisa na kutaja tukio kuashiria uhalifu. Hata vilaza hawafanyi hivi.
🖕
 
Lini wamepata hiyo akili?
 
Hiyo ni namna moja ya kufikiri. Namna nyingine ambayo hujaifikiri ni Je kama walijua wapo salama na hakuna anaye weza kuvujisha chat zao na hivyo waka amua tu kujiachia kwakuwa wanaaminiana na wesha kula viapo? Rejea speech ya mafwele akiwahitubia polisi siku kadhaa kabla ya uchaguzi. Alikuwa tu anataja watu bila kujali
Na huyo mdukuaji alidukua picha iliyopigwa kwa simu, sio chat zenyewe za WhatsApp. That means kuna mtu yupo kwenye hilo group, then akapiga picha chat kwa simu nyingine kisha ndipo hiyo simu yenye picha ikadukuliwa. Too good to be true.

Siamini kwa sasa na hizi calls za kuishirikisha The Hague, na hizi harakati za sanctions za US, na attention ya EU bado kuna watu wanajiingiza direct tena kwa kutaja tukio la kiharifu. Kila mtumishi wa vyombo vya dola anajua kabisa WhatsApp sio sehemu ya kujadili mikakati, hata wakijadili ni kwa code. Hao makamanda wa juu wanashindwa vipi issue ndogo namna hiyo.
Hata madalali wakizungumza hawataji maneno direct hivyo.

Kwenye ulimwengu wa intelligence taarifa ikija ikiwa very open, take it with a grain of salt.
 
Wakati huo umejifunika kimyaa na chumbani kwako upo ndani ya kiblangeti chako watanzania bwana ! Anaye sema nchi ichafuke yupo kwa shemeji yake anasubiri dada yake amkatikie viuno shemeji yake usiku ili na yeye apate anagalau buku ya bando kukikuchwa.
Oktoba mlisema hivyo hivyo kilichotokea
 
Nia ni njema katika kufikisha ujumbe japo kiuhalisia hiyo chat ni AI generated.

Heche na walio karibu na yeye wachukue tahadhari sana.

Nchi haiwezi kuwa na kikundi cha watu ambao wakiamua leo mtu fulani akae kwa wasiwasi na wengine wawe na maisha ya kawaida haikubaliki kabisa.
 
'Nduthi' anaweza kuwa Kindai.
This is terribly serious.
Nduthi kwa Sheng[Kiswahili cha Kenya cha mtaani ni bodaboda ] sasa tujaribu kulinganisha afande gani wa policcm ana tabia kama hizo.
 
Kamanda wa Polisi mwenye level hata ya kituo cha kata hawezi name-call mtu anayetafutwa. Wangeandika H, X, au wangekuwa wanamuita jina fulani kwenye medani yao.
Sio kutaja jina kabisa na kutaja tukio kuashiria uhalifu. Hata vilaza hawafanyi hivi.

We jamaa unawajua polisi wa Tz wewe 😂..

Au unaangaliaga Movies sana
 
Hivi inakuwaje akili za kibongo ni nyepesi sana kuzikamata hasa kwenye mitandaoni wanaamini kila kitu
 
Kamanda wa Polisi mwenye level hata ya kituo cha kata hawezi name-call mtu anayetafutwa. Wangeandika H, X, au wangekuwa wanamuita jina fulani kwenye medani yao.
Sio kutaja jina kabisa na kutaja tukio kuashiria uhalifu. Hata vilaza hawafanyi hivi.
Siyo Kwa nchi yangu, huko ukiwa Na backup ya Chama professionalism unaweka pembeni, mrejelee ustaadhi Na matamko Yake ,Na nafasi ya vyombo vya Dola juu ya matamko Yake,
 
Nduthi kwa Sheng[Kiswahili cha Kenya cha mtaani ni bodaboda ] sasa tujaribu kulinganisha afande gani wa policcm ana tabia kama hizo.
Bado naamini Nduthi anaweza kuwa ni Kingai.

Huyu mtu hasikiki sana, lakini matendo yake ni hatari sana. Yeye na Madillu wana jambo lisilokuwa la kawaida kwa taifa hili.
Mwingine aliyekaribu na maswala ya aina hii ni Jumanne Muliro; lakini bado nabaki na Kingai.
 
Back
Top Bottom