kabwinyola
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 564
- 708
Kilekile kuwatoa hofu na oressure juuHii inatisha kwani wapinzani wamewafanyia nini watawala ?
Mbn haifungukiiAnaandika Astra ambaye mara nyingi anasema yuko Oysterbay polis
View: https://x.com/tzastra2014/status/2070933680667971696?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Hii ni Hatari
Unanifahamu vya kutosha, nikiandika hayo niliyoandika hapo uelewe kuna mlengwa anayeyastahili maneno kama hayo.Dah ndo haya haya Kalamu
NamUnanifahamu vya kutosha, nikiandika hayo niliyoandika hapo uelewe kuna mlengwa anayeyastahili maneno kama hayo.
Kamanda wa Polisi mwenye level hata ya kituo cha kata hawezi name-call mtu anayetafutwa. Wangeandika H, X, au wangekuwa wanamuita jina fulani kwenye medani yao.Anaandika Astra ambaye mara nyingi anasema yuko Oysterbay polis
View: https://x.com/tzastra2014/status/2070933680667971696?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Hii ni Hatari
Washa VPN hiyo ni XMbn haifungukii
'Nduthi' anaweza kuwa Kindai.Anaandika Astra ambaye mara nyingi anasema yuko Oysterbay polis
View: https://x.com/tzastra2014/status/2070933680667971696?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Hii ni Hatari
You could be right; but we're dealing with extraordinary individuals.Kamanda wa Polisi mwenye level hata ya kituo cha kata hawezi name-call mtu anayetafutwa. Wangeandika H, X, au wangekuwa wanamuita jina fulani kwenye medani yao.
Sio kutaja jina kabisa na kutaja tukio kuhashiria uhalifu. Hata vilaza hawafanyi hivi.
go to hell you mother fuker afu hata cjui napambana nini na mjinga kama weweHuna matusi wewe hata matusi yenyewe huyajui ila sema nini janja! una maneno ya kusherehesha wadada wanao fundwa.
Hiyo ni namna moja ya kufikiri. Namna nyingine ambayo hujaifikiri ni Je kama walijua wapo salama na hakuna anaye weza kuvujisha chat zao na hivyo waka amua tu kujiachia kwakuwa wanaaminiana na wesha kula viapo? Rejea speech ya mafwele akiwahitubia polisi siku kadhaa kabla ya uchaguzi. Alikuwa tu anataja watu bila kujaliKamanda wa Polisi mwenye level hata ya kituo cha kata hawezi name-call mtu anayetafutwa. Wangeandika H, X, au wangekuwa wanamuita jina fulani kwenye medani yao.
Sio kutaja jina kabisa na kutaja tukio kuashiria uhalifu. Hata vilaza hawafanyi hivi.
Utakuwa ni ujinga kama Heche mwenyewe bado anaishi kiboya. Seriously, asipochukua steps za kujilinda watanchukua !!Anaandika Astra ambaye mara nyingi anasema yuko Oysterbay polis
View: https://x.com/tzastra2014/status/2070933680667971696?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Hii ni Hatari
Washa VPNMbn haifungukii