kuna aina ya drama ya kutafuta kiki na public sympathy nonsense sana aise, dah 🤣Anaandika Astra ambaye mara nyingi anasema yuko Oysterbay polis
View: https://x.com/tzastra2014/status/2070933680667971696?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Hii ni Hatari
🖕Kamanda wa Polisi mwenye level hata ya kituo cha kata hawezi name-call mtu anayetafutwa. Wangeandika H, X, au wangekuwa wanamuita jina fulani kwenye medani yao.
Sio kutaja jina kabisa na kutaja tukio kuashiria uhalifu. Hata vilaza hawafanyi hivi.
Lini wamepata hiyo akili?Kamanda wa Polisi mwenye level hata ya kituo cha kata hawezi name-call mtu anayetafutwa. Wangeandika H, X, au wangekuwa wanamuita jina fulani kwenye medani yao.
Sio kutaja jina kabisa na kutaja tukio kuashiria uhalifu. Hata vilaza hawafanyi hivi.
Na huyo mdukuaji alidukua picha iliyopigwa kwa simu, sio chat zenyewe za WhatsApp. That means kuna mtu yupo kwenye hilo group, then akapiga picha chat kwa simu nyingine kisha ndipo hiyo simu yenye picha ikadukuliwa. Too good to be true.Hiyo ni namna moja ya kufikiri. Namna nyingine ambayo hujaifikiri ni Je kama walijua wapo salama na hakuna anaye weza kuvujisha chat zao na hivyo waka amua tu kujiachia kwakuwa wanaaminiana na wesha kula viapo? Rejea speech ya mafwele akiwahitubia polisi siku kadhaa kabla ya uchaguzi. Alikuwa tu anataja watu bila kujali
Oktoba mlisema hivyo hivyo kilichotokeaWakati huo umejifunika kimyaa na chumbani kwako upo ndani ya kiblangeti chako watanzania bwana ! Anaye sema nchi ichafuke yupo kwa shemeji yake anasubiri dada yake amkatikie viuno shemeji yake usiku ili na yeye apate anagalau buku ya bando kukikuchwa.
Sabasaba kesho tu hapo ntaomba urudi kuleta mrejeshoOktoba mlisema hivyo hivyo kilichotokea
TutapataSabasaba kesho tu hapo ntaomba urudi kuleta mrejesho
Hakuna wa kuandamana sabasaba itapita kwa utulivu kabisaTutapata
Nduthi kwa Sheng[Kiswahili cha Kenya cha mtaani ni bodaboda ] sasa tujaribu kulinganisha afande gani wa policcm ana tabia kama hizo.'Nduthi' anaweza kuwa Kindai.
This is terribly serious.
Kamanda wa Polisi mwenye level hata ya kituo cha kata hawezi name-call mtu anayetafutwa. Wangeandika H, X, au wangekuwa wanamuita jina fulani kwenye medani yao.
Sio kutaja jina kabisa na kutaja tukio kuashiria uhalifu. Hata vilaza hawafanyi hivi.
Siyo Kwa nchi yangu, huko ukiwa Na backup ya Chama professionalism unaweka pembeni, mrejelee ustaadhi Na matamko Yake ,Na nafasi ya vyombo vya Dola juu ya matamko Yake,Kamanda wa Polisi mwenye level hata ya kituo cha kata hawezi name-call mtu anayetafutwa. Wangeandika H, X, au wangekuwa wanamuita jina fulani kwenye medani yao.
Sio kutaja jina kabisa na kutaja tukio kuashiria uhalifu. Hata vilaza hawafanyi hivi.
Bado naamini Nduthi anaweza kuwa ni Kingai.Nduthi kwa Sheng[Kiswahili cha Kenya cha mtaani ni bodaboda ] sasa tujaribu kulinganisha afande gani wa policcm ana tabia kama hizo.