Tetesi: Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi


Duh!

JF where we dare talk openly!

Aise Hili Jukwaa ni kiboko. No wonder hata CCM na serikali yake wanalivumilia maana na wao wanachota nondo humu! Cant imagine life without JF!

Long live JF!
 
toa upuuuz wako huku..kichwa ka bashite
 
Namfahamu jaji Upendo vizuri" amekua akiumwa kwa muda sasa mpaka alipelekwa India hali yake si nzuri kuendelea na kazi ndio mana kaamua apumzike...acha uwongo mkuu
 
Speculations tu, hakuna facts hapo. Zangu hizi hapa:
Wawili wameondolewa, ila tu wamepewa fursa ya kujiuzulu kuepuka aibu ya kutumbuliwa, kama aliyopewa John Casmir Minja kamishna general wa Magereza.
  1. Mzee Sadiki katolewa sababu ya ukaribu na wapinzani. Hata Dar alikuwa poa tu na akina John Mnyika na Halima Mdee.
  2. Jaji Mujulizi ameponzwa na ukaribu na hata uhusiano wa kibiashara na Lawrence Masha, the unwanted.
  3. Jaji Upendo Msuya ni mgonjwa hajiwezi.
 
Asante mkuu,hawa wafia ccm ni tatizo lingine kwa nchi yetu
 
Unaposema ni habar ya uhakika huku chanzo hakieleweki siwezi kukuelewa kabisa
 
bilioni mbili siyo kiasi kikubwa
Mhh ebu tuiandike kwanza tuone inaonekanaje 2,000,000,000

Humo kwenye bilioni 2 (mbili) unapata millioni moja moja zile ziwe 2000 (elfu mbili) sasa ukisema ndogo mkuu napatwa na mashaka kidogo, au mkuu kwa mwezi unaingiza zaidi ya hiko kiasi ??? [emoji1] [emoji1]
 
Hii tabia ya kuwasingizia watu kama sio watanzania baada ya kukorofishana na serikali ni too much!
Mtu mpaka amekuwa jaji alipitaje huko nyuma?
Hii tabia ya kuwasingizia watu kama sio watanzania baada ya kukorofishana na serikali ni too much!
Mtu mpaka amekuwa jaji alipitaje huko nyuma?

Jitahidi sana mkuu kuwa msomaji na mfatiliaji wa mambo..kamaunaishi Tanzania hauwezi uliza swali kama hili...wangapi mpaka leo hii washafukuzwa kwa sababu ya vyeti fake na wanamiaka mingapi maofini mwao?.
 
Put your evidence over the table. Imesemwa na nani?
 
Ujinga huu. Sio raia huku kapanda mpaka kawa jaji katika high court. Hapa naona kuna jitihada za kupenyeza tuhuma waonekane walikuwa wabaya serikali ijinazue na tuhuma kuwa ni mbovu wenye akili wanaamua kukaa pembeni
 
Wangekamatwa hata kabla ya kujiuzuru maana kuachia ngazi hakufuti hatia
 
Jitahidi sana mkuu kuwa msomaji na mfatiliaji wa mambo..kamaunaishi Tanzania hauwezi uliza swali kama hili...wangapi mpaka leo hii washafukuzwa kwa sababu ya vyeti fake na wanamiaka mingapi maofini mwao?.
nani aliyekamatwa na Cheti feki imeonyesha sio mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…