Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro
Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.
2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.
3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.
Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.
TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Kuachia ngazi hakukupi uhalali wa kutoshitakiwa,bado serikali inaweza kuwashitaki wakati wowoteSasa kama ni hivyo kwa nini hawakukataliwa kuachia ngazi ili badala yake wakamatwe, Washitakiwe ili sheria ichukue mkondo wake?
toa upuuuz wako huku..kichwa ka bashiteHizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro
Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.
2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.
3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.
Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.
TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Namfahamu jaji Upendo vizuri" amekua akiumwa kwa muda sasa mpaka alipelekwa India hali yake si nzuri kuendelea na kazi ndio mana kaamua apumzike...acha uwongo mkuuHizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro
Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.
2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.
3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.
Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.
TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Asante mkuu,hawa wafia ccm ni tatizo lingine kwa nchi yetuMkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.
Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.
Ona huyu naye. Kufukuza watu ovyo ndiyo nini sasa?Kwani kufukuza kazi watu ovyo na matamko ya ajabu ajabu kila kukicha kunatupunguzia ugumu wa maisha...
Kama makosa ni hayo kwa nini serikali haikuwawajibisha inasubili wajiuzuru!!????????
Unaposema ni habar ya uhakika huku chanzo hakieleweki siwezi kukuelewa kabisaHizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro
Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.
2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.
3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.
Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.
TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
bilioni mbili siyo kiasi kikubwa
Mhh ebu tuiandike kwanza tuone inaonekanaje 2,000,000,000bilioni mbili siyo kiasi kikubwa
Hii tabia ya kuwasingizia watu kama sio watanzania baada ya kukorofishana na serikali ni too much!
Mtu mpaka amekuwa jaji alipitaje huko nyuma?

Ni vijisenti tu kama alivyosema joka LA mdimu!bilioni mbili siyo kiasi kikubwa
Put your evidence over the table. Imesemwa na nani?Petro, lkini she is implicated in granting bail to drug cartel Pakistanis! Labda kwa vile kulikuwa na weakness katika defense??? akapata mwanya huo??? imesemwa hivyo??? Najua alikuwa Tanga of recent, lakini kashifa ya kuwafadhili watuhumiwa wa madawa ya kulevya imesemwa sana.....
Umeuliza swali makini. Ajibu kwa umakini mkubwa sio ubabaishaji.Sasa kama ni hivyo kwa nini hawakukataliwa kuachia ngazi ili badala yake wakamatwe, Washitakiwe ili sheria ichukue mkondo wake?
nani aliyekamatwa na Cheti feki imeonyesha sio mtanzaniaJitahidi sana mkuu kuwa msomaji na mfatiliaji wa mambo..kamaunaishi Tanzania hauwezi uliza swali kama hili...wangapi mpaka leo hii washafukuzwa kwa sababu ya vyeti fake na wanamiaka mingapi maofini mwao?.