Lisemwalo lipo! Mind we do not always work with evidence in ethical issues. Ukimuona mtu ana mali ya bilioni nyingi for example, lakini mshahara wake ni laki mbili kwa mwezi na hana biashara inayojulikana, tunaweka ????????Put your evidence over the table. Imesemwa na nani?
Siingizi hizo, lakini kwa mtu mwenye upenyo wa hela sio kubwa.Mhh ebu tuiandike kwanza tuone inaonekanaje 2,000,000,000
Humo kwenye bilioni 2 (mbili) unapata millioni moja moja zile ziwe 2000 (elfu mbili) sasa ukisema ndogo mkuu napatwa na mashaka kidogo, au mkuu kwa mwezi unaingiza zaidi ya hiko kiasi ??? [emoji1] [emoji1]
2,000,000,000....... mtu mwenye mkondo mweupe wa rushwa kubwa kubwa ,, hizo ni hela ndogo!ha ha ha, mbavu zangu
Hawa walitajwa tu. Hakuna aliyekutwa na drugs za say 6 billion kama pakistanis! soma sheria ya madawa ya kulevya hata kama siyo mwanasheriaMbona kina Manji, Gwajima na (TID, Chid Benz, Wema, Masogange, Babu wa Kitaa) waliotajwa na Bashite wamepewa dhamana na serikali hiyo hiyo haijamlalamikia jaji aliyewapa dhamana wakati Bashite kasema wao ni wauza madawa wakubwa, au wao hawana miguu ya kutorokea?
Kama ni kweli Mkulu aliyepita ndo anahusika na kumshinikiza jaji UM awape watuhumiwa dhamana ili watoroke, unafikiri wakili wa serikali ana ubavu wa kukata rufaa?Kwanini rufaa haikukatwa? Mkuu,usiamini porojo.
Sasa kama ni hivyo kwa nini hawakukataliwa kuachia ngazi ili badala yake wakamatwe, Washitakiwe ili sheria ichukue mkondo wake?
Kulikuwa na sababu gani ya kuwataja wakati huna uhakika kama wanauza? Na kama sheria ya madawa inasema aliyekutwa nayo asipewe dhamana, je hukumsikia Siro akisema Manji amethibitika kuwa mtumiaji. Na je ni kiasi gani cha madawa unatakiwa kukutwa nacho kama hiyo sheria wewe umeisoma ndio ukose dhamana? Wema ni miongoni mwa watu tuliombiwa wamekutwa na madawa(bangi) ukiachilia mbali kuwa mtumiaji.Hawa walitajwa tu. Hakuna aliyekutwa na drugs za say 6 billion kama pakistanis! soma sheria ya madawa ya kulevya hata kama siyo mwanasheria
UchocheziHizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro
Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imethibitika alifuja kiasi kikubwa takribani bilioni mbili za usafi ktk Jiji la Dsm na ilikuwa akamatwe na PCCB lakini kaamua kuachia ngazi nadhani atashughulikiwa.
2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Huyu ana makosa mawili makubwa, la kwanza ni lile la ESCROW Account alipokea fedha chafu za Rugemalira na kukosa sifa za kuwa Jaji mwaminifu, la pili huyu si raia wa Tanzania hivyo si mtanzania yeye ni Mganda habari za uhakika zimethibitisha hilo, Hivyo hana sifa ya kuwa Jaji huyu.
3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.
Huyu ndiye Jaji wa hovyo kabisa yeye ameshiriki kuwaachia watuhumiwa wa kesi za madawa ya kulevya na kupokea rushwa kitendo hicho kinamuondolea sifa ya kuwa Jaji mwaminifu.
TAARIFA HIZI NI ZA UHAKIKIA KABISA KUTOKA CHANZO CHA NDANI!
Hapo mkuu ndipo tunapokwazika maana kuisaidia mahakama habar yake ndefuItabidi uisaidie mahakama
Jambo la wazi ni kwamba Majaji na watu wengine wamekuwa wakijiuzulu kwa muda mrefu,, na hasa hasa wakifikia muda wa kustaafu kwa hiari. Tatizo ni kwamba utawala huu umekuwa ukiandika kila jambo kwa lengo la kupata sifa zisizo na maana. Nakumbuka Jaji Kalegeya na Jaji Chingwile ,,wao walijiuzulu kipindi cha Kikwete lakini hatukutangaziwa hivyo,, na walikubaliwa kuacha. Pia kuna Jaji Mwalusanya ,,,the late yeye aliacha ujaji Kipindi cha Mkapa. Na mara nyingi sana sababu za kuacha huwa zinakuwa personal sana,, kwa mfano ugonjwa,,,au kuichoka kazi hiyo isiyokuwa na uhuru kabisa,, au kuamua kwenda kuishi maisha mapya. Na mtu anayeacha na kukubaliwa anapatiwa mafao yote (Ambayo ni mazito sana,, ikiwepo Gari aina land Cruiser Mpya). Kwaiyo si sahihi kuhusisha mambo yasiyo uhakika kwa watu wanaoacha kazi za Ujaji. Jaji Upendo Msuya amefanya kazi kubwa mahakamani,, kazi ya kuthibitisha kosa au makosa waliyotenda watu katika jinai ni ya DPP si ya mahakama na kama hujaridhika unakata rufaa dhidi ya uamuzi huo.Na amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu.Mkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.
Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.
Swali zuri sana!Sasa kama ni hivyo kwa nini hawakukataliwa kuachia ngazi ili badala yake wakamatwe, Washitakiwe ili sheria ichukue mkondo wake?
Top Judges Linked To Escrow, Drugs ResignPut your evidence over the table. Imesemwa na nani?
Wale wapakistan sijui wa iran unawakaumbuka wa heroine?wadhamini wantakiwa wakamatwe,hata wakili wao ameungana na mwanasheria wa serikali!Mkuu,unajua kuwa Jaji Upendo Msuya amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu? Msifanye kila jambo kuwa la kisiasa na kuwapakazia watu. Kujiuzulu si dhambi,ni haki ya mtu.
Acha ramli chonganishi kwakuwa,kama wengi wetu,hukuziona barua zao za kujiuzulu zinazoainisha sababu. ID yako feki isikupe haki ya kuropoka na kupakazia.