Hahahahaaa hivi unajua tulikuwa show live ya ukweli??
yan Madame B pembeni yangu na laptop yake namimi na yangu.
So hapakuwa na hiyo kitu zaidi ya kubinjuana cha faster wakati tumwacha babu Asprin anaendelea na matangazo