Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Uliza swali ndio uondoke ladyfurahia

Niulize nini tena erick maana hayo mahojiano mm nimeshiba kabisa sijui kama mm utaweza kunihoji kwani nina kigugumizi cha maneno, lakini ngoja niulize kidogo

Kwanini umefikia hatua ya kuweka talk show humu jf? wewe ni presenter wa shows mbalimbali erickb 54? pls nijibu basi erick
haya ni hayo tu mkaka je wataka mengine lakini usijeanguka bure jibu hayo kwa leo
 
Yah man, hili swali nalo kichwani sikuwahi kuuliza, wengi watakuwa wanafahamiana sana humu ndani it seems. Ndo vizuri lakini
 
hakuna aliyekutolea nje queen elizabeth labda erickb52 ameshindwa kukuhoji na wewe au anajiandaa namna gani akuingie we tulia gado tu atakuhoji kwani ulitakaje elizabeth ndugu yangu?
 
Hiyo lugha gani umeandika...huku hairuhusiwi kabisa, tutakugeuza mjusi sasa hivi

ooh sorry!yani nimeona mnaongea na kufurahi kwa pamoja as family so nikawa interested kujua kama hii ni kwa kukutana tu hapa mtandaoni au pia mnakutana ata kwa maisha ya kila siku mitaani.
 
Baba V kama kuna suala lolote kuhusiana na uhusiano wetu naomba mfuate utaratibu,kwa nini mnamrusha roho mwandani wangu kama mmekufa si mseme tu?

Ndo kupenda kumekufanya kipofu eeh! kamati sio zetu ni za chit.chat na hakuna member aliye juu ya sheria, as far as your relationship is concerned, my word is final and irrevocable, nimeongea kikristu kuonyesha usirias
 
Last edited by a moderator:
Zinduna naona babu anahamu ya maswali sasa naomba kukupa shukrani zangu za pekee kwa kuwa bega kwa bega na mimi katika kufanikisha show hii!
Madame B thanks na karibu kwenye awamu ya pili ya wadau kukutupia maswali usiogope kujibu crazy Qns relux kama ulivyokuwa tangu mwanzo!
Thanks sana kwa wadau wote! Niko nanyi!
Asprin muda wangu umetosha nawapa nafasi nanyi muulize maswali yenu!
Karibuni sana ndetichia Elia G Kamwela na wadau wote popote mlipo
Mama Erick a.k.a KOKUTONA karibu sana Kipipi (Miss you) bila kuwasahau moto2012 FP gfsonwin snowhite cacico Bishanga na The Boss

Erickb52 nakushukuru sana kwa kunipelekesha puta ktk Interview hii,Shukrani kwako. Zinduna,Shoo iko bomba sana na nimeipenda. Chimbuvu,nakupenda Sweetilo Yaani dah.....!!!!!!!!!! Arushaone luv uuuu.....!!!!!! Chilli, tedo, Ruttashobolwa Nawapendeni sana.
@FP, charminglady, Baba V, Asprin afu wewe ngoja nije Boko utantambua. ndetichia, eliah G. Kamwela, KOKUTONA, watu8 shem tuko pamoko, Nicas Mtei kaka,Pamoko. Filipo salute, Ciello dada,sana tuuuu.
@Zuedayo_mchuzi, sweetlady mambo.
Jamani na wale wooooote waliokuwa wananichungulia nasema hv,
NAWAPENDA SAAAAAAAANAAAAAAAAA................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
I have a question to you chitchat members..do u know each other??i mean in ya real Ids..cz u sound like u have met b4 & u interact even in a real life!

Well yu knoo mr jentroman hia in chitchat inglish is not richabo bikoz awa silabas ended wis ze topic of "senkyu veri mach ticha, we are sitting down limited"

So ken yu ask yua answer in Nyerere langweji plis.

We ol lav your kampan limited and your welcome warm.
 
Back
Top Bottom