Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliza swali ndio uondoke ladyfurahia
I have a question to you chitchat members..do u know each other??i mean in ya real Ids..cz u sound like u have met b4 & u interact even in a real life!
Sitegemei kuachana nae.
Na hyo kamati yenu ni fake.
Hiyo lugha gani umeandika...huku hairuhusiwi kabisa, tutakugeuza mjusi sasa hivi
Hiyo lugha gani umeandika...huku hairuhusiwi kabisa, tutakugeuza mjusi sasa hivi
Kiukweli toka moyoni nimewahi kuwa na wapenzi 4 tu.
Lol.
Ndo kupenda kumekufanya kipofu eeh! kamati sio zetu ni za chit.chat na hakuna member aliye juu ya sheria, as far as your relationship is concerned, my word is final and irrevocable, nimeongea kikristu kuonyesha usirias
hakuna aliyekutolea nje queen elizabeth labda erickb52 ameshindwa kukuhoji na wewe au anajiandaa namna gani akuingie we tulia gado tu atakuhoji kwani ulitakaje elizabeth ndugu yangu?
ohooo! charminglady wapendaga hivyo vitu wewe ni mnywaji nini? samahani sana kama utaboreka hapa
ooh sorry!yani nimeona mnaongea na kufurahi kwa pamoja as family so nikawa interested kujua kama hii ni kwa kukutana tu hapa mtandaoni au pia mnakutana ata kwa maisha ya kila siku mitaani.
Zinduna naona babu anahamu ya maswali sasa naomba kukupa shukrani zangu za pekee kwa kuwa bega kwa bega na mimi katika kufanikisha show hii!
Madame B thanks na karibu kwenye awamu ya pili ya wadau kukutupia maswali usiogope kujibu crazy Qns relux kama ulivyokuwa tangu mwanzo!
Thanks sana kwa wadau wote! Niko nanyi!
Asprin muda wangu umetosha nawapa nafasi nanyi muulize maswali yenu!
Karibuni sana ndetichia Elia G Kamwela na wadau wote popote mlipo
Mama Erick a.k.a KOKUTONA karibu sana Kipipi (Miss you) bila kuwasahau moto2012 FP gfsonwin snowhite cacico Bishanga na The Boss
Ati? Unaomba show? nimekuonea huruma basi waweza fanya nami
I have a question to you chitchat members..do u know each other??i mean in ya real Ids..cz u sound like u have met b4 & u interact even in a real life!