Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Mie sijambo?

Umeliona ombi langu? Fanya hima umpunguzie dozi ya kibano dogo wetu..... Nahisi hali isipobadilika atatelekeza mji soonest!

Babu DC sio kibano! Haya ni mapenzi tu!! Filipo mume wangu katumbukia ipasavyo namie nimetumbukia vile vile!!
 
Last edited by a moderator:
hujui kama weekend?
Namalizia 'cha mwisho' hapa jamvini.

Hahaaaa....unamalizia cha mwisho...sikuwezi aisee umefungukaaaa......nimekusoma hatua kwa hatua....wee mkareeeeeeeee.
 
Hukwenda Kujinyeto kweli wewe?

Hahahahaaa hivi unajua tulikuwa show live ya ukweli??
yan Madame B pembeni yangu na laptop yake namimi na yangu.
So hapakuwa na hiyo kitu zaidi ya kubinjuana cha faster wakati tumwacha babu Asprin anaendelea na matangazo
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa hivi unajua tulikuwa show live ya ukweli??
yan Madame B pembeni yangu na laptop yake namimi na yangu.
So hapakuwa na hiyo kitu zaidi ya kubinjuana cha faster wakati tumwacha babu Asprin anaendelea na matangazo

Afu Erickb52 unajua kesho ndo narudi Dar?
Ila Arusha nimepapenda.
 
Last edited by a moderator:
Afu Erickb52 unajua kesho ndo narudi Dar?
Ila Arusha nimepapenda.
Ni kweli pametulia sana...km tungeenda na pande zile kwa kale kajamaa ndo ungegoma kurudi kesho.
Ila naamini umeenjoy sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom